EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Nakumbuka wakati Mh Zitto akiongelea suala la Nyamongo alitoa ushauri kifanyike nini ili yasitokee yaliyotokea. Alishauri kuwa kuna umuhimu wa kuangalia ni namna gani rasilimali za nchi zinavunwa ili ziweze kufaidisha raia. Alisema katika kamati ya Bomani walipendekeza kuwa asilimia 20 ya mrahaba unaotozwa kwenye madini ubakie kwenye halmashauri ya wilaya ambayo mgodi upo ili kuweza kuondoa tofauti kati ya wawekezaji na wanachi. Akasema lakini serikali hakukubaliana na hoja hiyo. Akasema madhara yake ndio kama tuliyoyaona Nyamongo (KABWE ZITTO NA SAKATA LA NYAMONGO(KAJUNASON BLOG) - YouTube)
Wakati akijua madhara hayo, research inasema Mh Zitto huyo huyo alisubmit proposal ABG kuomba msaada. The research says this move, according to the ABG's Public Relations Manager Teweli Teweli, was a result of a proposal submitted to the company by Kigoma North MP. "Kigoma North government submitted a proposal and Barrick funded it because Kigoma North's education system is lagging behind national standards. Kabwe had complained about the same issue in Parliament for years, with no effect." (though inachanganya hapa).
Kila mtu anajua matatizo yanayoikumba Kigoma. There is no doubt about this. Lakini pia wote tunajua matatizo yanayowakumba wale wanaozunguka mgodi ba Barrick. Hawapati hata asilimia 20 ya mrahaba unaotozwa kwenye madini yanayochimbwa kwenye maeneo yao. Hata hizo kampuni za madini zimekuwa zikilalamikiwa kwa kutosadia kuendeleza maeneo yanayozunguka machimbo husika. I am sure mtakuwa mmeona vitu kama hivi: Toronto Tanzania Solidarity - YouTube
Labda Mh Zitto anaweza ku reconcile aliyosema kwenye paragraph ya kwanza hapo juu na yaliyosemwa kwenye parapgrah ya pili? So far naona defence yake ni kuwa hakunufaika personally kwenye hiyo deal. But the research does not claim that he benefited personally anyway. Personal benefit is not an issue here na sioni kwa nini Zitto anang'ang'ania hapo.
There are far wide issues which need answers. Najaribu kulinganisha hii issue na mbunge mmoja wa Uingereza aliyekuwa anapinga vikali uovu uliofanywa na Rupert Murdoch na kampuni yake ya New International halafu akaombe msaada kwenye kampuni hiyo hiyo kusaidia mandeleo jimboni kwake. Does that make sense? It could be perfectly legal to do so but morally vipi?
The issue is whether it was morally right for Zitto to submit a proposal to ABG to finance development projects in his constituency wakati ni mojawapo wa waliopendekeza asilimia 20 ya mrahaba unaotozwa kwenye madini ubakie kwenye halmashauri ya wilaya ambao mgodi upo ili kuweza kuondoa tofauti kati ya wawekezaji na wanachi.
Kwa maana nyingine, Zitto sasa anakubaliana na hoja ya serikali? Kwa sababu wananchi wa Nyamongo wakijua kuwa ABG imetoa misaada mpaka Kigoma wakati wao hawapatawi hata ile asilimia 20 ya mrahaba unaotozwa pamoja kuwa wameadhirika vibaya na mgodi huyo watamwelewaje Zitto ambaye amekuwa akipendekeza wapewe angalao hiyo asilimia 20? Where are Zitto morals here? Ningefikiri Zitto angeshauri basi kwa vile serikali imekataa ku- allocate asimilimia 20 ya mrahaba, basi angalao Barrick itoe misaada zaidi kwenye maeneo ya machimbo. Badala sio tuu hawapati hiyo asililimia 20 bali pia misaada ya Barrick imeelekezwa kwingine.
That is why the research says whether it was immoral or not for ABG to finance development a project in Kabwe's constituency remains debatable by Tanzanians. Let us debate it then.