MH zito kabwe (mp) ni TUNU YA TAIFA TUKIAZIMISHA MIAKA 52 YA UHURU

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
MM NIKIWA MPENDA MABADILIKO NIMEONA NITOE MCHANGU WANGU KWA TAIFA NA TUNU ZA TAIFA TUZIENZI
naanza na CV YA MH ZITO KABLA SJAANZA HOJA YANGU KAMA REFERENCE
The Hon. Mr. Zitto Zuberi Kabwe M
ZittoK.jpg



Country:
Tanzania


Parliament:
Parliament of Tanzania


Party:
Party for Democracy and Progress (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA)


Last Election:
2011


Upcoming Election:
2015


Website:
Kabwe Zuberi Zitto - CV on Parliament of Tanzania Website


Twitter:
@zittokabwe


Interested in:
Economic Security
Good governance, Justice & transparency
Regional Cooperation & Security


Regions of interest:
Central Africa


Bio:
Hon. Zitto Z. Kabwe is a trained economist from University of Dar es Salaam who later received professional training on International Marketing in Germany. He joined struggles for Multiparty democracy in Tanzania at the age of 16 and since then has been a member of CHADEMA political party. CHADEMA is a center-right party with orientation on market economy. Hon. Kabwe is currently a member of Parliament representing Kigoma North and he chairs a Parliamentary standing committee on Public Investments. He keenly pursues the African transition to a continent free of conflicts. He was an election observer in DR Congo in 2006 and before in Ghana in 2004. In parliament his interests are trade, minerals and governance issues. Born in September 1976, Zitto Kabwe is a third born from a family of ten children of Mzee Kabwe and mama Shida



ukisoma vizuri hiyo cv kisha soma yafuatayo

kama mwanafunzi chuo kikuu alifanya mambo mazito hadi serikali ilikua inamchukia kwa msimamo wake usioyumba
kama mwanademokrasia aliamua kujiunga na upinzani na kujiunga chadema ambapo wakati huo kama si jasiri lilikua si jambo dogo sio min kabang wanaopiga kelele hv sasa baada ya buldoza kusafisha njia

kuamua kugombea ubunge akiwa kijana maskini mnyonge lakini tajiri wa fikra alijitosa kigoma kaskazini na kuandika historia iliotukuka kwa taifa kupata kiongozi mdogo kabsa bungeni
alipofka bungeni akaonyesha kuwa chadema hawakumpa uongozi kwa kumppendelea kwa alionyesha ability na kuiletea tanzania tija hasa sekta ya madini ambapo sasa sheri nyingi zimebadilishwa

ka ma kiongozi kambi ya upinzani na waziri wa fedha ameleta bajeti nzuri mbadala kwa taifa lau ingechukuliwa leo tanzania tungeishi kwenye neema
amekuwa mpigania demokrasia ya kweli ndani chama hasa kuhusu uhuru wa kugombea, uwazi wa mapato na matumizi na kuonyesha ni kijana mwenye upeo na ambae ataisaidia chadema kwa miaka mingi ijayo
note
MIAKA 52 YA UHURU NI BUSARA KUKUMBUKA TUNU ZA TAIFA AKIWEMO MH ZITO KABWE NA WAASISI WETU WA TAIFA forward forever never back
 
Tanzania na Zitto wapi na wapi? Leo hii hadi Warundi mnawaita Tunu za Taifa? amekutuma au nini yeye mwenyewe anatumpia uzi hapa ili ajue tutasemaje? sasa majibu ni kuwa Zitto si Mtanzania
 
kama taifa, vyama vya siasa, ngo, na taasisi nyingine turuhusu akili kubwa ziongoze akili ndogo( watu local)
 
Tanzania na Zitto wapi na wapi? Leo hii hadi Warundi mnawaita Tunu za Taifa? amekutuma au nini yeye mwenyewe anatumpia uzi hapa ili ajue tutasemaje? sasa majibu ni kuwa Zitto si Mtanzania
ukianza kula nyama za watu utaendelea by j nyerere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom