Mh Wenje ukitua dar NI PM NIKUPE"" KITOCHI"" umenifurahisha sana leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,949
22,117
Dah jamaa noma afai kabisa nafikiri kichwa chake kimoja ni waziri mkuu na makamu wa rais
mh pinda swala la kuandamana we sahau hata leo hii saa yoyote tukitoka hapa tukikubaliana
unakutana na sisi barabarani,,,hivi nyie mnajidanganya na vimgao vya ajabu ajabu jamani
mi nasemaje maandamano atuachi ngo na kama amuamini subirini tumalize hivi vikao vyenu
mkitaka tuache haya maandamano kitu kimoja tu rahis

CAG AMETANGAZA UCHAFU WA HALMMASHAURI ZAIDI YA KUMI NA NILITEGEMA MH MKUCHIKA
ANGEKUJA KUTUAMBIA AMEWAWASHA WANGAPI NA WANGAPI WAKO SEGEREA LEO MNAKAA KUJADILI
UPUUZI WA MAANDAMANO NANI KAKWAMBIA WATIENI ADABU WALE WACHAFU MUONE KAMA TUTINGIA
KWENYE MAANDAMANO NANI ANATAKA KUACHA KUKAA NA WAKE ZAO ...NAKWAMBIAJE WAZIRI MKUU
HIYO HOJA ONDOA KABISA

NIMENUKUU

AAAHAAA KAMA UKITUA DAR NI PM NIKUPE HATA ""KITOCHI""""
 
Hapo ndiyo unapata tofauti ya wasomi waliohangaika darasani kujibu assignments, quiz, group discussion and examinations.Wabunge wengi wa Magamba wamefaulu kwa kutumia unauthorized material in answering qns.Matokeo yake leo hawawezi kusoma mambo muhimu between the lines na hivyo kushindwa kufanya competitive contributions in bunge sessions.Magamba hawana wabunge wa mihuri tu.
 
Dah! jamaa co masikhara mimi nilikuta tu sehemu ya mwisho ya michango yake bungeni alipokuwa anaelezea uozo wa watu wa mali asili kuhusu uvuvi wa kutumia nyavu ndogo na kuwakamata akina mama wachuuzi wa samaki sokoni.....yuko fit sana yule jamaa!
 
ha ha ha ha ha ha kweli anastahili kitochi.. tena ile yenye kilemba bana
 
Kwa kweli hiyo imekaa sawa. Magamba na mawaziri wao wanafikiri bado watu wote wanaweza kumpigia magoti waziri mkuu . sasa hivi ni kucheza na hoja , umeshidwa kaa pembeni. Timiza wajibu wenu kama wenje alivyowataka mfanye halafu maandamano bye bye.
 
Huyu mheshimiwa bonge la jembe,nimemsikia leo bungeni akichangian hoja ya makadilio ya bajeti ya Ofisi ya waziri mkuu,kweli nikaamini Chadema kuna vichwa ambaavyo tathimini yangu inanituma kuamini kuwa,kicha cha Wenje ni sawa na namba chungu tele ya wabunge wa CCM.
 
jamaa nilimsikiliza mwanzo mwisho yaani ni balaa! katema cheche za uhakika na ni mzungumzaji mzuri mwenye points zenye uhakika with full of confidence, ee bwana we acha tu!
 
Pdidy hii terminology ya "kitochi" umetoa wapi? Huenda tuna common background!
 
Huyo ndo mbunge,ulimckia mdee alipomtolea uvivu mkiti? Na nukuu 'acha kuyumbisha kiti,ucfuate ushabiki'
 
Huyo ndo mbunge,ulimckia mdee alipomtolea uvivu mkiti? Na nukuu 'acha kuyumbisha kiti,ucfuate ushabiki'

huyo alinifanya niagize shampeni isiyo na kilevi pale tankibovu kwa kweli walikuwa wapi ??
 
kweli kijana yuko vizuri alitoa mchango wa ukweli ukiambatana na quotations kibao. Yeye na machali jana walinikosha sana.
 
Back
Top Bottom