MH WAZIRI..UHAMIAJI WANACHANGIA 51.999% YA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
HUAMINI HILI ZOEZI LA KUKAGUA WANANCHI WASIO NA VIBALI KWAO N MRADI MKUBWA

UHAMIAJI WAMEKUWA WAKIWAJUA MAHARAMIA WENGI WAISHIO NCHINI BILA VIBALI USINIULIZE ZAIDI

HII DEP IMEOZA HASA BODA ZOTE AIRPORTS ZOTE N ZA KUBADILISHA MAOFISA WA JUU MPAKA CHINI

WAPO WACHINA WENGI TU NCHINI WANaiNGIZWA BILA VIBALI NA SIJUII BAADAE MAOFISA WANAONEKANA KWAO KUFANYA NINII

KUNA WACHINA WAKOHAPA AFRIKASANA MH WAZIRI BAADA YA KAMPUNI YA CAMEL GOROFA LINALOFWATA ..AWAJAMAA WANA WALINZI WA KINYASAW AWANA VIBALI WALA NINII MOJA

PILII WENGI WANAULIZA NANI NA UKITAJA UMETOKA IMMIGRTN KAMA AWAKUJUI WANAOMBA NAMBA ZAKO NA KUWAPIGIA XXX

BAADAE UNASHANGAA JAMAA NA UNIFORM ZAO WANAGEUKA WALIPOTOKA WANAKUWAGA NA DEFENDER NYEUPE AMA NAMBA ZA KAWAIDA AMA DFP

WENGINE WAKO KONA YAKWENDA KWA MAMA RWAKATARE...HUMO NDAN WANAKIWANDA KABISAA NA USIKUU MAKONTENA YANAPAKI KUJAKUBEBA NAAMINI TRA WANAJUA HILII

NTAWAJUZA WA TEGETA MKITUPA MMEKAMATA WANGAPI WA SINZA....
 
Badala ya kuwabudghi sijui wa congo, washugulikiwe haya Wachina wanaotengeneza viwanda Tandale
 
Hii ilitokana na prince kukamatwa na sembe China mshuwa kaingia mikataba nao wachina wanachoma adi maindi wanalima hadi bustan za mboga mboga ? Haloooo hv hii nchi ilikua inaelekea wap mikononi mwa mzee wa msoga? Ni aibu sana hawa wachina wahindi waangaliwe jaman n wanyanyasaj hv pia hawa wachina na hiz hosptl zao na wakorea zimekaguliwa,
 
Juzi juzi hapa nasikiaa.. sitataja ofisi.. naibu waziri akiwa na watu wa uhamiaji.. kwenye ile ziara ya kukagua makampuni.. mtu mmoja wa uhamiaji alimkamata mchina ambaye alikua hata kibali , basi akachukua passport yake na akamwagiza amtafute. Kutaka amtafute ilikua ni njia ya ku9nana naye nje ya naibu waziri.. nasikia jamaa wa uhamiaji alipiga dolla 2000 za mchina na passport akamwachia..
Nilipo sikia hii habari nikaogopa sana.. kama hawa ambao timewapa dhamana ndio wanapenda rushwa kiasi hiki, tutaponea wapi.
Uhamiaji yote apewe mwamnyange
 
Back
Top Bottom