Mh. Waziri mwenye dhamana, Wanafunzi wa Mitihani(secondary) na Vyuo warudi vyuoni kuendelea na masomo yao

Kweli,watu wamekuwa wajuvi wa kila kitu
Hebu tuache ujuaji kwenye hii Corona , tatizo bado ni kubwa mnoo.

Kwa taarifa yako taasisi nyingi zimeanza kupunguza wafanyakazi ambapo wengine wameelekezwa kufanyia kazi nyumbani ili kupunguza msongamano kwenye maofisi. Serikali ndiyo inasimamia hili tena kimya-kimya ili kupunguza taharuki.

Video za kina Mwana-FA zisiwafanye mkarelax na kujidanganya,
upungufu wa maambukizi huko China usitufanye tukarelax kwasababu very soon tutajuta.

Corona bado ni tishio especially kwa nchi masikini kama hii Tz mnayoiita "dona kantre"

Kama kuna mwanafunzi au mwanachuo nyumbani kwako msisitize atulie nyumbani hii sio likizo ya kuetembeleana kwenda kupiga selfie.
Tutalia very soon tuichukulia poa hili janga.

#StayHome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike mahala vyuo vyetu waboreshe online classes
Nahisi ndio mwanzo wa kujifunza Zaid kuendana na technology
 
Binafsi nimependa uamuzi wa serikali, nilikuwa nyuma sana vitu vingi sijavipitia..sasa ni muda wa mimi kukava.

Asante Mungu kwa kusikia kilio changu, daily nilikuwa nakuomba uniwezeshe kwa namna yoyoye katika masomo yangu.

5/5
 
Hamna kitu kama hicho ebu angalia
1.kuna vyuo wanalala 8+ chumba kimoja ugonjwa ukiingia hapo unadhani itakuwaje
2. Unazuia wanafunzi. Je wahudumu wa shule kama nlinzi, wazabuni wa chakula, walimu nk unadhani wakipata huo ugonjwa itakuwaje
3.utoro mashuleni haudhibitiki kutokana na mazingira ya shule zetu. Wakirudi shule watoro wakauleta ugonjwa shuleni unafikiri itakuaje
4. Vyuo vingi vipo maeneo ya mjini wakiambukizana kutokana na ku share vitu kama mabafu, vyoo, sinks, vyombo nk

Mi naona uamuzi wa kufunga uko correct kabisa.
 
Umeandika vema sana. Lakini kwa wajuaji waliomo humu usitegemee lolote jipya!

Humu tuna madokta na wanasayansi wabobevu!!
 
Hamna kitu kama hicho ebu angalia
1.kuna vyuo wanalala 8+ chumba kimoja ugonjwa ukiingia hapo unadhani itakuwaje
2. Unazuia wanafunzi. Je wahudumu wa shule kama nlinzi, wazabuni wa chakula, walimu nk unadhani wakipata huo ugonjwa itakuwaje
3.utoro mashuleni haudhibitiki kutokana na mazingira ya shule zetu. Wakirudi shule watoro wakauleta ugonjwa shuleni unafikiri itakuaje
4. Vyuo vingi vipo maeneo ya mjini wakiambukizana kutokana na ku share vitu kama mabafu, vyoo, sinks, vyombo nk

Mi naona uamuzi wa kufunga uko correct kabisa.
Hebu watanzania mpunguze ujuaji!

Relax, kunywa maji mengi!

Inaonekana unajua vitu vingi sana wewe sijui una degree ngapi?
 
Tatizo unakurupuka kuandika hata husomi na kuelewa,

Hebu Rudi darasani usome we usiyependa shule.
Mto mada acha kujifanya unajua sana....unafikiri wanafunzi wote wana access ya internet?walioko vijijini kusikokua na internet...by the nani ataratibu hayo masomo ya online...usituletee tatizo lingine kusumbua mifuko yetu.
 
Back
Top Bottom