Ina onekana Mbowe amezoea kuidanganya Kamati Kuu ya CHADEMA kwa kutoa taarifa za uongo! yani kitendo cha kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu basi akaona ngoja nikawambie wale pimbi na makombati yao kama mgambo wa jiji alie nyeshewa mvua kuwa pinda ameingia muafaka na Chadema mgogoro wa Arusha!
Mbona Pinda hajawai kumuambia Rostam Aziz aende mahakamani kama hajaridhishwa na maamuzi ya CCM?Majibu ya Mh. Pinda jana bungeni kuhusu mazungumzo ya mwafaka na viongozi wa CHADEMA juu ya suala la uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Arusha, yanaonyesha hali ya kuwa PM wetu ni kigeugeu.
Si yeye peke yake, bali hata mheshimiwa Naibu Spika Ndugai na baadhi ya wenyeviti wa Bunge letu tukufu. Ndugu wananchi wazalendo, nawasihi tukemee jambo hili kwa nguvu zote.
Inshallah, Mwenyezi Mungu yuko upande wetu. Ramadhan karim, na mimi nitasema KWELI daima, fitina kwangu mwiko.

Mzee wa Posho hebu tuangalie upande wa pili wa shuka, kwa mfano kama katibu mkuu wa CCM, ndugu Mukama asingetoa kauli ya kutotambua mazungumzo ya mh. Pinda na mh. Mbowe/Dr. Slaa, je Pinda angeruka viunzi?
Unamuongelea huyu?View attachment pinda.bmpKwanini Kuuliza? Jakaya Kikwete ni Kigeugeu why not him?
Tusingekuwa hapa kama wote wasingekuwa Vigeugeu
Wamepeleka ukigeugeu hadi CCM Central Committee

We ndo mhuni ndo maana unajiita mzee wa posho, ungekuwa si mhuni usingeshadadia posho huku kipato cha mtanzania ni tzs 770,000.00 huo ndo huuni wa serilkali na mzeev remote yaani pindua! mbona hamlali mnaiwaza cdm?? SUBIRI UONE KIMBUNGA! NCHI IMEKUFA SABABU WATU WALIOPEWA MAMLAKA HAWANA A WALA B!.H

ow can u lead people while u have almost nothing in your head!?we need people who can take action, who can provide A COMPASS TO THEIR PEOPLE!who can give a better plan about employment stratergies, we have how many idol capacities in town?? have u already heard about sthing like effort to support them??? Which kind of govmnt never value its resources???

KAKA MADHAIFU NI MENGI KULIKO MAZURI YA HAWA WAZEE WA MAGAMBA! KWELI TUNGEKUWA NA WATU WANAOFIKIRI TANZANIA HII TUNGEKUWA NA SHULE AMBAZO WANAFUNZI WANAKAA CHINI??

WANAFUNZI 300 WANAFUNDISHWA NA WALIMU 3 AU 1??? SHULE ZIMEJENGWA KWA TOPE?? KWELI TANZANIA HII??? DU! ATAKAYEKUBALI UTAWALA HUU AKI YA MUNGU AKILI YAKE LAZIMA ITAKUWA NA MATATIZO MENGI SANA!!

Pinda amejilaumu sana kuwakubalia Mbowe na Slaa kwenda nyumbani kwake! hakujua awali wale watu ni wa hovyo watamzushia jambo ambalo hajakubaliana nao! Pinda next time usiwakaribishe hao magwanda nyumbani kwako hawafai na hawana ustarabu kabisa wana tabia za kihuni!
Mbona Pinda hajawai kumuambia Rostam Aziz aende mahakamani kama hajaridhishwa na maamuzi ya CCM?
Na huyu Ndugai kichwa maji mbona mwaka 1968 TANU walliwaengua wabunge nane ambao walikiuka kananuni za kiimadili za chama lakini jambo hili halikukemewa kwa nguvu zote??????