Mh Waziri Mkuu jambo hili litakuvunjia heshima mbele ya Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Waziri Mkuu jambo hili litakuvunjia heshima mbele ya Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by daniel_mollel, Nov 28, 2011.

 1. d

  daniel_mollel Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mh Pinda ni miongoni mwa viongozi wachache nchi hii ambao watanzania bado hawajapoteza sana imani nao. Nasema hivyo kwa sababu ya ushawishi wake mkubwa kwa viongozi wenzake wakiwemo waheshimiwa wabunge na watanzania kwa ujumla. Amefanikiwa kumsaidia Waziri wa Nishati na Madini kupitisha bajeti yake wakati wa bunge la bajeti.

  Kama siyo jitihada hizo wizara hiyo ingeliwezesha bunge kuandika historia mpya ya "kutupilia mbali bajeti ya wizari ya serikali". Baada ya kuokoa jahazi sasa Waziri Mkuu anabaki na deni litakalo mtafuna bungeni, na machoni pa watanzania. "MGAO WA UMEME". Ahadi kubwa aliyoitoa Mh Pinda ni kumalizika kabisa kwa mgao ifikapo "December, 2011".

  Je? Kuna "DALILI" za muujiza huu kutendeka?, sioni zaidi ya mgao kuimarika hata katika baadhi ya maeneo ambako ulikuwa haufiki. Hili lisipofanyika nitahoji uadilifu wa Waziri Mkuu Pinda, lakini kabla ya kuhoji hilo, nitategemea Ngeleja bila kujali kama atakuwa kanusurika kwenye kashfa ya Jairo, aachie ngazi. Dhambi ya kulidanganya bunge la wananchi pamoja na umma wa watanzani tena kwa kupitia kwenye jukwaa la wawakilishi wao, haitavumilika. I

  tabidi Mh Waziri Mkuu "apime mwenyewe!!" akishindwa wananchi wataamua kupitia wawakilishi wao. Hali ya umeme Arusha ni "MBAYA..!!". Uzalishaji hauwezekani! Ajira mashakani! Vyakula vinaharibika! Familia zinakula mlo mmoja!

  Ni hatari sana.
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Tusubiri tuona! Lakini mi ninavyoona uwezekano ni mdogo sana.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwani huyu toka lini alikuwa na heshima mbele ya watanzania..?
   
 4. k

  kicha JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  ''kwani huyu toka lini alikuwa na heshima mbele ya watanzania..?''hahaaaaaaaaaaa mie mbavu sina ila mkuu muheshim ni waziri mkubwa
   
 5. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umesahau kuzitaja zile 280000/=alizopokea kutoka kwa mtuhumiwa jairo
   
 6. N

  Nico's New Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nazani swala la umeme liwe ni maamuzi yetu bila kua kama watunisia atuwezi kupata maendeleo
   
Loading...