LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Salaaam,
Mimi ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
Nimekuwa nasikia viongozi wa Kitaifa wakisisitiza umuhimu wa kuwa na vitambulisho vya Taifa na vitumike kwa mambo mengi muhimu kama utambulisho.
Mimi nime pigwa picha na Nida Januari mwaka huu. Hadi sasa mwezi wa nane umeanza hatuja pata vitambulisho. Naomba kujua kulikoni??
Je Mh Waziri ana taarifa za hili jambo?? Kama msisitizo ni vitambulisho vya Taifa, kwanini inachukua muda mrefu hivyo kupata hicho kitambukisho???

Last edited by a moderator: