Mh. Tundu Lissu akiwa katika hatua za mwisho za matibabu yake.

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,784
12,226
1124934


Mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu akifanya mazoezi ya mpira wa miguu, ikiwa ni sehemu ya matibabu ya mguu aliyofanyiwa upasuaji.

Mh. Tundu Lissu ametangazakurejea nchini Septemba 7, 2019.
 
Haingii akilini mtu upigwe risasi 38 zikungie mwilini then upone.... wakati wengine wanapigwa moja ya mguu tu chali.

Hili halipo na halijawahi kutokea katika hali ya kawaida na mbaya zaidi hawa wanaojiita manabii wapo kimya tu wanakusanya sadaka hawajui kwamba huu ndiyo unabii wa kweli uliotokea karne hii.
 
Back
Top Bottom