nimejisikia amani sana kwa picha hiiView attachment 1124934
Mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu akifanya mazoezi ya mpira wa miguu, ikiwa ni sehemu ya matibabu ya mguu aliyofanyiwa upasuaji.
Mh. Tundu Lissu ametangazakurejea nchini Septemba 7, 2019.
Bashite na baba take jiwe wanaharishanimejisikia amani sana kwa picha hii
wakati woteMungu ni mwema!
Kuna binadamu wadhaifu walitaka brain hii iwe kaburini, Sir God akagoma....
Kabisaa...Mungu hapendi upotevu wa vitu vya muhimuKuna binadamu wadhaifu walitaka brain hii iwe kaburini, Sir God akagoma....