Haswa!!!!!! Bonge ya tution kama sio lecture.
Mbona sikusomi vizuri? kama ni mh Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa na si mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania?Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
Ndo nashangaa!!!!!Mbona sikusomi vizuri? kama ni mh Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa na si mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania?
dah... Mama yule jasiri, si kama tendwa hapa, mtoto wa kiume lakini hamna ki2....
Ni kama topic haileweki vile, Tendwa anahusika na matokeo?
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
Haswa!!!!!! Bonge ya tution kama sio lecture.