Mh. Tendwa jikaze ur a Man... Be a MAN

Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
44
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
 
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima
Mbona sikusomi vizuri? kama ni mh Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa na si mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Tanzania?
 
Kwanini Tendwa wakati yeye si wa Tume ya Uchaguzi, au hii ni mchanganyiko!
 
Tendwa ajikaze wapi yuko Zambia kushuhudia Ushindi...

Naona anaona Machungu kibaraka huyo wa CCM

DSC_0151.JPG

DSC_0166.JPG
 
Ni kama topic haileweki vile, Tendwa anahusika na matokeo?
 
si tedwa tu mpaka mw|kiti wa tume ya uchaguzi bwana kilavu pamoja na jk a.k.a vasco da gama wajifunze kukubali maamzi ya wananchi umma ukiamua hakuna wa kupinga hongela sana wazambia pamoja na rais aliyekuwa madalkani kukubali kueshimu maamuzi ya wananchi kiukweli zambia ni mfano wa kuigwa na watawala wa hapa afrika.
 
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima

Mkuu, nadhani wewe ndiye unayepaswa kujikaza ili uwe unaleta ulinganifu sahihi. Tendwa siyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi sasa unaanzaje kumlinganisha na huyo mwanamama wako. Yaani wewe hata Sweetlady anakushinda kwa kupanga hoja halafu unajiita Straight!
 
Mh. Tenda inabidi ujikaze, ur a Man. Angalia Zambia, mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zambia ni mwanamama na jasiri, anaye simamia kweli Bi Irene Mbililima

ndugu yangu huu ujumbe si ungemfaa zaidi rajab kiravu? Coz tendwa ni msajili wa vyama na sio mkuu wa tume ya uchaguzi.,bt thnx for da msg
 
Tendwa ni msajili wa vyama ambaye anasimamia maadili. Hivyo anayonafasi kuongelea pale maadili yanapokiukwa na vyama mbona uchaguzi mkuu alitetea JK kupiga kampeni mpaka usiku akisema ndiyo makubaliano. Hata hivyo makubaliano ya vyama na kanuni zake usimamiwa na Tendwa.
 
Back
Top Bottom