Mh temu tonee huruma kazi tunaipenda swissport lakini uzazi tunaupenda zaidi ndugu yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh temu tonee huruma kazi tunaipenda swissport lakini uzazi tunaupenda zaidi ndugu yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 3, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Unajua malaika si lazima aje usiku hata mchana anaweza kuja inategemea jinsi han ya kumpokea na kufaidika nae..nilikuwa kwenye basi moja nakuta vijaana wamependeza wamekaa kitini wanaongelea upande wa kazi mmoja akasema
  kwa kweli leo nimekata tamaa kabisa na kazi naipenda lakin tunspoelekea usishangae wanaume wengi wa swissport wanazeeka na miaka 40,awataki kusikia ndoa ama gfriend..akamuuliza kulikoni hiyo ni majuzi akamjibu bwana kwa kweli sijui mh wetu inabidi aongeze wafanyakazi wa kubeba mizigo inapoelekea tunaenda kuzalisha wagumba kwene kampuni bila kujua.,,,watu wakacheka sana alipotumaliza akasema

  unajua kijana leo wamekuja wachina wanasafiri walipoweka mizigo mitano ya kilo sawa mizani ikazunguka kama mara tatu nikamwambiamwenzangu duh leo kazi ukisikia unarudi nyumban mkeo anakugeuza unaishia kupumua pumua tu kama umekabwa na jinamizi ndiko huku..mi ndio maana naogopa kuoa sipendi kumtesa mtoto w amtu wakati nikirudi najipasha na moja mbili nikifika unafikiri hata upitishe wembe usikii tumecheka sana sana

  anyway mh temu embusikia kilio cha watooto wakonajua walikuwa wanafanya kucheka lakini hawa wametoa yaliyo moyoni ongeza vijana wa kubeba mizigo iliniumiza hapo aliposema tunapoelekea tunazalisha vijana wagumba kwenye hii kampuni ..la hasha najua mh wetu ni msikivu mpenda kusikia na matumaini ya kuongezewa wala msiwe nawasi ni member wetu mzuri tu...

  Kila la kheri swissport kwa kazi nzuri na jina zuri
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hio kampuni ya Swissport imejaa Ukabila mtupu, Top Management yote ni Wachaga.
  HR ni Mdogo wake Mama Mkapa.
   
 3. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Eee bana eee
  Andika kitu kilichoenda skuli basi
  Si kama mazungumzo ya kariakoo, imechukua muda kukuelewa
   
 4. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mada ni kuhusu ugumba lakini.....naona kama hiyo yako ingekuja kama thread mpya...
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Kwani Swissport haina nyenzo za kubebea mizigo? Watu wanabeba mizigo kama makuli? hakuna forklifts and other utilities?
   
Loading...