Mh Temba atapeliwa shilingi milioni 100

Ukitaka kujua ni uongo(au ameongeza 0) ni hiyo hesabu ya" milioni mia moja na kitu hivi".
Mtu umetoa fedha zako halafu hujui kiasi hadi useme milioni mia moja na kitu hivi!
Ndio ile ya msanii wa mwanza anakwambia 20millions utasikia 200millions
 
Temba amefikisha miaka 55 ivyo inabidi astaafu utumishi kwa hiari au asubiri afike miaka 60 astaafu kwa mujibu wa sheria,ni wakati wa kuanza na option B kwa Temba muda umemtupa mkono ni ngumu sana kwa muziki wake kupenya kwenye soko la leo sio mbaya kama angejikita kwenye biashara kwa kua ana ABC's
 
Billion moja na million 800 kwa magari ya mnada !? Kwa pesa kama hiyo utafungua bonge la show room
 
Haya wazee wa fursa kuna kabisha ka magar mmekasikia haya mkayanunue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom