Mh. Tarimo una malengo gani na CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Tarimo una malengo gani na CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pape, Jan 25, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za CHADEMA lakini sasa naomba nikuulize 'live' ndugu Mh. B. Tarimo unamalengo gani na CHADEMA? Taifa litanufaika vipi kama CHADEMA kikitawala? Je, una mikakati gani kabla uchaguzi mkuu wa mwaka 2010? Sisi watanzania tutegemee nini kutoka kwako?
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  BTW : Who is B Tarimo? in relation to CHADEMA or TZ politics?
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ndio tunaomba CV yake, aje aitoe humu....
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Vipi mkuu?

  Hujaacha tu kujadili watu binafsi?kata ishuz za maana bro
   
 5. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tarimo ni nani? Ana wadhifa gani CHADEMA au Tanzania?
   
 6. Mwalimu Makini

  Mwalimu Makini Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Papi

  Naona ulitakiwa kumtafuta B Tarimo kwa njia yoyote umwulize swali lako. Utakapojiridhisha kuwa swali linatosha kuwa hoja ya kuletwa hapa jamvini basi ulilete tulichambue kwa manufaa ya kizazi hiki na vijavyo.

  Kwa sasa ninaona swali/hoja yako imekuja bila mashiko!!
   
 7. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  hatumjuwi huyu mtu hatuwezi kujadili mada..mwaga CV...,je issue ina public interest??
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ndiye basi tuwekee CV yako hapa!
   
 9. 911

  911 Platinum Member

  #9
  Jan 27, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Mods,puliiiz....Hii naomba ihamishiwe kwenye majukwaa mengine huko.
   
 10. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unao uhakika gani huyo tarimo yumo humu jamvini? Au ndo wewe mwenyewe unataka kutest zali ukagombee udiwani rombo kwenu?
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nimekusoma!
   
 12. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ze pumbaz.
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ukitukanwa sijui utasema umeonewa...
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  utajiju...shame on you!
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Mkuu,

  Sijui nikuite kwa lugha gani wewe,hoja za watu binafsi hazina maslahi kwa taifa hili.Acha ku-divert attention za watu from real issues
   
 16. N

  Nanu JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Who is the b. Tarimo called mheshimiwa?????????????????????
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  watu wanalipa Fadhila, ni aibu the great thinkerz kununuliwa kama wa mataifa tu, maana imeonekana humu ndio kwa kuanza kupigia kampeni
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Ujinga ndio unatumaliza...inashangaza
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ndio maana hatutaki kuendelea kuwa wajinga, tumwagie midata humu....acha kuzunguka mbuyu...
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mods hebu ondoa hii thread hapa!
   
Loading...