Elections 2010 Mh. Sugui: Haki ya Mtu Haipotei na malaria haikubaliki

Mashayo

Member
May 29, 2007
22
0
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa tembo mzima.
 
Actually walikuwa wanampandisha chati bila kujijua!
Walifumbwa macho na ufahamu, wana wa IBLIS!!
fYUUUUUUUUUU!
 
Kwanza napenda nikupe hongera za dhati kwa ushindi wako na hatimaye kuwa tayari kuwakilisha jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Tangu ulipoamua na kukubaliwa na wanachama wenzetu kukupa nafisi ya kuongoza jahazi la kulichua jimbi la Mbeya Mjini hadhi yako ilibadilika palepale na kuwa mgombe wa uwakilishi wa watu wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla.

Ninachokuomba kama Mpenzi wa CHADEMA ni kuwa hakikisha unachagua cha kuongea na mahali pa kuongea. Wewe sasa ni mheshimiwa na pia umebeba bendara ya Chama chetu pamoja na Uwakilishi wa jimbo lako. Inapobidi omba ushauri kwa viongozi katika Chama ili kupata ufumbuzi wa jambo lililo mbele yako.

Wapo wengi walipenda ushindwi na hatimaye uwe chanzo cha kuuzia magezeti na habari za radioni na upenda mwingine unweza pia kuwa chanzo cha habari kwa ushindi huu ambao kwao hawakutarajia na hatimaye wewe na wapiga KURA wako mmewashangaza.

Zingatia maadili ya uongozi na sisi wapenzi wa CHADEMA tunategemea sana mchango wako mkubwa katika Bunge lijalo lililo na bahat ya kuwa na timu nzuri ya Wabunge toka CHADEMA ba hata vyama vingine vya upinzani. Upaswi kubalidili wewe bado utabaki SUGU MOTO CHINI na tunategemea hivyo hata uko BUNGENI...
Waliokubeza kipindi chote cha kampeni hachana nao...
 
Mr II kumbuka jukumu ulilobebeshwa ni kubwa sana unahitaji moyo wa upendo na huruma kwa waliokuchagua ili kuweza kuwatumikia vyema. Kumbuka fedha ni matokeo tu lakini sisi tunahitaji uwajali waliokutuma na kukwepa yale yanayofanywa na wabunge wabinafsi kama aliyekutangulia. Ingekuwa inawezekana ungemtafuta mpesa aku kochi sababu zilizofanya achukiwe na kila mwana Mbeya. Mkumbuke Mungu katika kazi zako naye atakukumbuka daima.
 
Ninachokuomba kama Mpenzi wa CHADEMA ni kuwa hakikisha unachagua cha kuongea na mahali pa kuongea. Wewe sasa ni mheshimiwa na pia umebeba bendara ya Chama chetu pamoja na Uwakilishi wa jimbo lako. Inapobidi omba ushauri kwa viongozi katika Chama ili kupata ufumbuzi wa jambo lililo mbele yako.

kaka umeeongea jambo la maana sana.

Vile Vile Sugu na wanachadema wengine walioshinda ubunge wajue pia hata ndani ya chadema wakubali kutokubaliana baadhi ya mambo. Kuna kipindi inatokea mikwaruzano. Wasitumie mikwaruzano yenye nia nzuri ya kujenga chama kuwa faida kwa CCM.
 
naona clauz efuemu ''wataanza kupiga myimbo zake vere soon''.......!

kinachonisikitisha na hii redio ni ile hali ya ''kisilani'' cha kudumu na wasanii!

NINAKUMBUKA SANA ENZI ZA DUDU-BAYA!....

walifanya upumbavu ''fananishi''
 
Clouds kuua soo watamwita kumhoji

Thubutuuu....kwa huyu jamaa wakijaribu tu kumwita basi atamwaga Nondo zake hapohapo kwani ana uchungu nao kwa yale waliyomtendea sidhani Sugu atawasamehe kwa hilo
 
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa tembo mzima.

wera wera! MREMA WA TLP tayari ameomba 'wizara yake ' ya mambo ya ndani! lol
 
Back
Top Bottom