Mh Sugu bado anafikiri yuko kwenye BongoFleva?

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person
 
Na wewe pia unalipwa 7,000 hufai au bado uko kwenye majaribio?
Mpumbavu: ni mtu anaetoa maneno yanayonuka kinywani mwake nae ni P.i.nda
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

Wivu wa kike nao una taabu zake!!!
 
Attachments

  • masharobaro wa tanzania.jpg
    masharobaro wa tanzania.jpg
    45.3 KB · Views: 302
Aliyesema fuc*k yu.....anaimba nini?

Kiongozi1

Afadhali umewaambia maana hujifanya wamesahau! Hivi kati ya Sugu na Serukamba nani kakosa adabu zaidi? Au kwa vile kalitamka tusi hili kwa Kiingereza kibovu basi linaonekana sio tusi?

Tatizo WAME BINAFSISHA AKILI hivyo lazima waandike kinacho wafurahisha MABWANA zao.
 
Unapotaka kurekebisha jambo halitakiwi liegemee upande fulani kamwe.Kauli za baadhi ya viongoz wetu hasa wa kisiasa zina matatizo.
Heshima haiangalii umri bhana unapaswa kuheshimu yoyote kwa maana ya umri,kabila,dini.....sio mkubwa tu ndiye anayepaswa kuheshimiwa.
Ikumbukwe pia hata uwe mzee usipojiheshimu hakuna atakae kuheshimu hata mtoto aliyezaliwa jana atakutema mate.
 
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki kutoa matusi tatizo bado anafikiri yupo jukwaani anatumbuiza bongofleva kumbe kwa ss ni kioo cha jamii shame on u brother na nibora umeomba msamaha don repeat childish thing while ur a respected person

una uhakika kaomba msamaha? page yake facebook bado inasisitiza kuwa waziri mkuu Pinda ni Mpumbavu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom