KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
Nimeona mambo yanavyokwenda Zambia na nafananisha na ahadi za Mh. Slaa wakati wa compaign and I can see that aliyoyasema yanawezekana. Zambia yanaonekana aliyoyasema Sata kwamba atatekeleza ndani ya siku 90.
Ombi langu ni kwa Mh. Slaa kujenga uswaiba na Mh. Sata kwani hawa ndie wazalendo wa kweli wenye moyo wakuzikomboa nchi zetu. Ufisadi ndani ya sisem na ememdi ni kama mapacha. Kuna culture of impunity.
Criminals get away with it as long as they are friends with the leaders. Just a simple question, Hosea wa Takukuru anafanya kazi gani leo hii?