Mh. Slaa ajenge urafiki na Mh. Sata

KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
26
Nimeona mambo yanavyokwenda Zambia na nafananisha na ahadi za Mh. Slaa wakati wa compaign and I can see that aliyoyasema yanawezekana. Zambia yanaonekana aliyoyasema Sata kwamba atatekeleza ndani ya siku 90.

Ombi langu ni kwa Mh. Slaa kujenga uswaiba na Mh. Sata kwani hawa ndie wazalendo wa kweli wenye moyo wakuzikomboa nchi zetu. Ufisadi ndani ya sisem na ememdi ni kama mapacha. Kuna culture of impunity.

Criminals get away with it as long as they are friends with the leaders. Just a simple question, Hosea wa Takukuru anafanya kazi gani leo hii?
 
Mawazo ya kitoto kabisa. Hapa lililo la msingi ni sera siyo urafiki. Personal freindhip cannot determine a political stance that one takes. Parties have to have platforms on which to push their agenda. Wala Satta hakuishi kwa maandamano!
 
Usikurupuke kupost pumba sio lazima uchangie. Wakiwa na personal friendship Dr. hatomuuliza satta hints za kuingia IKULU na "namna ya kutekeleza sera zao"? maana sera alizotumia dr. Mwaka jana ndizo alizotumia satta. Think before you post.
 
nilisoma fasta fasta nikadhani afanye urafiki ya SITA yaani kidogo nife kwa presha.
 
Mawazo ya kitoto kabisa. Hapa lililo la msingi ni sera siyo urafiki. Personal freindhip cannot determine a political stance that one takes. Parties have to have platforms on which to push their agenda. Wala Satta hakuishi kwa maandamano!
umeongea point nzuri ila mwishoni umemwaga mipumba mitupu.
 
Ni vizuri kuwa na urafiki na watu wenye mwelekeo wako ili kushare techniques.
 
Nimeona mambo yanavyokwenda Zambia na nafananisha na ahadi za Mh. Slaa wakati wa compaign and I can see that aliyoyasema yanawezekana. Zambia yanaonekana aliyoyasema Sata kwamba atatekeleza ndani ya siku 90.

Ombi langu ni kwa Mh. Slaa kujenga uswaiba na Mh. Sata kwani hawa ndie wazalendo wa kweli wenye moyo wakuzikomboa nchi zetu. Ufisadi ndani ya sisem na ememdi ni kama mapacha. Kuna culture of impunity.

Criminals get away with it as long as they are friends with the leaders. Just a simple question, Hosea wa Takukuru anafanya kazi gani leo hii?

Usipangie watu marafiki bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom