Leo kwenye vyombo vya habari imeripotiwa Tanesco wamesalimu amri kwa kushindwa kesi na Dowans. Sasa ina maana Watanzania wajiandae kukamuliwa. Mh. Sitta na MH. Mwakyembe walilipigia kelele sana suala hilo bila mafanikio. Kwa sasa kwa vile wako serikalini Dowans wakilipwa tutajua nao wameshiriki hivyo ushauri kwao ni kuwa wajiuzulu ili wasihusishwe na unyanyaji huo. Kwa kweli serikali yetu imedhihirisha kuwa inahusika na sakata hilo maana jinsi kesi inavyoendeshwa ni kama danganya toto. Vyama vya upinzania vilisemee suala hili kuepusha unyonyaji kwa Watanzania. Nakaribisha maoni.