Mh Sitta fanya maamuzi sasa acha ku Sitta Sitta before its too late | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Sitta fanya maamuzi sasa acha ku Sitta Sitta before its too late

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pax, Nov 20, 2010.

 1. P

  Pax JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi nina ushauri kwa Mh Sitta, he is obvious not comfortable na hali ya mambo huko CCM, mimi namshauri afanye maamuzi ya busara kwa sasa maana navyoona hawezi kupigana akiwa ndani ya hilo kundi. He is very exposed kwa sasa na sijui kama analifahamu hili, kundi la mafisadi hawawezi kumwacha alale usingizi na watamfuatilia sana kwenye kila jambo, mwishoni watamfukuza kwenye chama. Make up your mind Sir, hama CCM nenda Chadema, uchaguzi ukiitishwa unagombea unashinda tena. Build you Legacy now, show your true colours, now is the time.
   
Loading...