Mh.Simbachiwane Tbc leo asb.

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
leo asb mh.Simbachiwene amelalamikia visima sitina saba vilivyochimbwa jimboni kwake havifanyi kazi kwa muda mfupi sana tangu vimejengwa,na vimebaki vinne tu vyenye afadhali. Sasa mie najiuliza kwani wapinzani wakiuliza,wanaambia wanaeneza chuki kwa serekali yao?kumbe ukweli wanao na wanaujua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom