Mh. Shibuda ajisafisha bungeni jioni ya leo kwa kusema posho wanalipwa manamba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Shibuda ajisafisha bungeni jioni ya leo kwa kusema posho wanalipwa manamba...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Jul 22, 2011.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ameikana posho na kusimamia ujira wa mwiha sababu ndio ujira stahiki
   
 2. L

  Luiz JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ameogopa rungu la cdm mwendo mdundo.
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Laki 5!
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,325
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  sijaelewa hebu nielewesheni. Ameikana posho au amesemaje?
   
 5. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyo, yale yale ya ujira wa mwia. Ndo posho hiyo hiyo. Wala hajakana lolote hapo juu. Huyu ni wa kumtosa baharini tu. Analeta Gundu
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa anachanganya watu kwa kujifanya anajua sana kiswahili.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni mnafiki tu huyo ameona hatoki kitanzini anaanza kujikosha ili aonekane yupo kundini! Hana jipya atoswe tu.
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,486
  Likes Received: 1,587
  Trophy Points: 280
  Aaah mamluki wengine bana utafikiri 6 bana.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,105
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  mleta mada hujamwelewa john magele shibuda...alichosema alikuwa anasisitiza matumizi ya kiswahili fasaha kwa membe ....kuwa neno sahihi ni ujira wa mwia na sio posho........
   
 10. V

  Vonix JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,698
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Shibuda kwa nje ni cdm lakini moyoni ni magamba tupu huyu afunzwe adamu yeye anadhani kafika bungeni kupitia kabila lake.atoswe tu.
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Ndugu mleta mada yaani katika maongezi yote wewe umeona hili ndiyo la pekee hakusema zaidi la kuijenga Tanzania badala ya maneno ya malumbano haya ? Duh haya mkuu
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,678
  Likes Received: 20,300
  Trophy Points: 280
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Afukuzwe tu. Anapima upepo hatoki
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  CDM uyu jamaa si wamteme tuu!
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kajisafisha vipi sasa mbona sioni kipya alichosema.
   
 16. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 451
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kukosekana kwa umeme ni shida kubwa, kwani wapo watu wasiotazama bunge, na hivyo wenye bahati ya umeme wanaweza kuwadanganya na mkajikuta mnamwaga adrenalin hormone kwa kuongea maneno machungu bure, SHIBUDA hajaikana posho, bali amekosoa lugha ya kiswahili wanayoitumia viongozi kutaja kuwa wanajeshi wetu walio huko lebanon wanalipwa posho na akasema isiitwe hivyo bali iitwe ujira wa mwiha, kwani manamba ndio wanalipwa posho so wanajeshi wetu sio manamba...hakugusia suala la posho za wabunge wakuu.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Pro-CDM-JF, kwa kujifariji na kujiliwaza! Uwa nacheka sana huyu muanzisha thread hajasema kajisafisha vipi, hivi unajua maana ya Ujira wa Mwiha? Kusema hivyo ndio kajisafisha? Ebu tujuze
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Shibuda anatisha ni vyema kuwa na wapinzani kama aina yake!!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Si kasema Ujira wa Mwiha, ndio kajisafisha hivyo sasa wewe unataka kipya gani!
   
 20. b

  bia JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni wa ku2pia mbali mana mwanaume ukishakosa msimamo bs unakua mvulana na wapaswa kuwa na kitengo maalum cha jns yko,huyu aende ccj,hafai bunge nimechek kasema uzuri ila posho akisema wanapewa manamba automaticaly yeye na magamba anawasafisha kuwa siting alowance ni ujira wao wa mwiha yaan wanastail coz n ngumu mbunge akubali kuitwa manamba iwapo wakiukubali msemo wa posho,hvyo anataka lifuta neno posho.narudia shibuda is just a man bt nt strong man
   
Loading...