Mh:Seleli, Mama Sita na mh Aziza wajibu mapigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh:Seleli, Mama Sita na mh Aziza wajibu mapigo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by M-bongo, May 20, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo kwa wao kukaniwa kutorudi Bungeni, Mh selelii, mama Sita, Mh Aziza na Mh Mchemba juzi walifanya kikao kikubwa katika Hotel ya Orion Mjini Tabora ili kuweka mikakati ya kunusuru nafasi zao za uwakilishi ambazo yawezekana wao wamekwisha ji binaifsishia kuwa mali zao za kudumu.
  Kikao hicho kilichoanza saa tatu usiku pamoja na mambo mengine kilikubaliana utaratibu wa kugawa baiskeli ili kumsaidia mgombea mmoja wa kike katika nafasi ya viti maalumu inayoonekana kuwa chungu kwao baada ya kujitokeza mwana dada mmoja mzaliwa wa Tabora na mfanya biashara maarufu mjini Tabora kuitaka nafasi hiyo, aidha utaratibu wa kugawa baiskeli unafanyika baada ya ziara ya mmoja wa wafadhali wao wakuu kugonga mwamba tokana na uongozi wa mkoa kutokuwa tayari kumpokea mgeni huyo( mfadhili. endapo watafanikiwa basi watakuwa wametegua kitendawili cha ule mkakati wa kuwang'oa akiwemo Mr 6
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hizi habari zainapendeza kuwa kule kwa Michuzi! ama kwa Shigongo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  M-Bongo,

  Kwanza mjomba, Wacha nikupe Heshima yangu...Wewe ni Mzalendo, Mjamaa, na Raia Mwema WA mKOA WA TABORA...!

  Achana na MASANILO, si unajua yeye anatoka kule nanihiiii kule!!!?

  Sasa Mjomba , embu tupe Data vizuri, hao wanaotaka kuwapora nafasi akina Selelii ni akina nani?

  Na je, Huyo Dada Tishio, pamoja na huyo Mfadhili ni wepi hao? Usikute ni wale ndugu zetu wapendwa wa jamii ya ki**sia, kama kawaida yenu wa TABORA!! Lete nyeti zaidi mkulu..
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Hizi habari zainapendeza kuwa kule kwa Michuzi! ama kwa shigongo  hata mi nadhani hivyo.
   
 5. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tukianza na seleli tokana yeye kujichanganya sana katika siasa za Nzega hasa kwa maswala ya Ubaguzi rangi ,kabila na Dini hali yake kisiasa ni mbaya mno kwani tayari kuna wagombea kama saba hivi lakini tishio ni mmoja aliyepewa jina la Kayanda (kavulana, kakijana-kisukuma) katika uchaguzi wa 2005 kijana huyo tayari amepagawisha seleli kiasi cha kuanza kufanya mikutano hovyo bila matangazo, bila vibali, bila viongozi wa chama chake, Aziza anbaye ni mbunge wa Viti maalumu yeye anakabiliwa na kibarua kizito tokana na kuegemea kwa mmoja wa wafadhili ambao ni adui mkubwa kwa wadau wa siasa za mkoa wa Tabora hivyo amepangiwa utaratibu wa kuchinjiwa baharini wakati wa kura za maoni ili akose kura kabisa, Aziza kwa sasa amepewa baiskeli 140 na Bwana Mengi ili azigawe katika kata zote 138 za mkoa wa Tabora na juzi amegawa kwa wilaya za sikonge na Uyui kesho kutwa anaenda zikabidhi huko,
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  He he he! he! he!.....!!!!!!!!!!!!!!

  Wadau si mnaona mambo hayo? Mliyajua?

  Sasa ndo kusema huyu bwana Mengi yeye anahusikaje na

  siasa za Tabora, mpaka amwage hizo "INJINI-KIUNO" au

  "IRON-HORSE" kama zilivyoitwa katika kitabu nilichosoma

  zamaaaani, cha Ze River Between?
   
 7. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani Mkuu Sikonge naye atakuwa ka[ata baiskeli hapo. Kunani Bungeni?.
   
 8. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari ndo hizo si lazima ukubali kila unachokisoma hata kama hakikufurahishi ila huo ndo ukweli wa hoja
   
Loading...