Mh Seif Iddi , unajua ya Haroun Suleiman wa SMZ na uporaji wa kiwanja cha gov? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Seif Iddi , unajua ya Haroun Suleiman wa SMZ na uporaji wa kiwanja cha gov?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Jan 24, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia moja ya eneo kubwa la Chuo cha ufundi Karume kiliopo mbweni limemegwa na Mh haroun Ali suleiman na kulibeba kwa matumizi yake kwa kutumia nguvu bila kufuata utaratibu wowote wa kisheria, anakusudia kujenga hoteli au nyumba ya familia yake. ni eneo liliopo karibu kabisa na hosteli za wanafunzi na mpakani mwa chuo cha afya mbweni.
  ametumia mamlaka yake ya uwaziri wa Elimu wakati huo ili kuhalalisha ukwapuaji wa kiwanja cha serekali bila hata kutoa shilingi moja. pia ameweka mlinzi kulinda eneo hilo la wazanzibar.
  jee mh Iddi unajua uchafu uliofanywa na Haruna eneo hilo?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haijalishi ndugu yangu! Kwetu afrika uongozi ni fursa? ya kupata vitu kama hivyo! Usishangae
   
Loading...