Mh said mwema, nahodha kwanini mumeshindwa kuwakamata magaidi hawa au kwa sababu sio la kisiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh said mwema, nahodha kwanini mumeshindwa kuwakamata magaidi hawa au kwa sababu sio la kisiasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Apr 29, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hapa Zanzibar palitokea tukio moja la kigaidi la Mkurugunzi wa manispaa ya Zanzibar kumwagiwa tindikali na kuharibika mwili wote.
  ni tukio la kigaidi lilopangwa na magaidi ya kutaka kumuua mhusika.
  Huu mgogoro unatokana na mkurugenzi huyo kutaka kuwahamisha wafanyabiashara waliopo darajani.
  Huyo aliefanya tukio inawesemakana hadi leo hajakamatwa na hakuna aliekamatwa kwa kesi hiyo ndio maana hakuna kesi mahakamani.
  Nakumbuka matukio kama hayo au chini ya hayo yalipokuwa yakifanyika kwa wanasiasa watuhumiwa wakimatwa na kufikishwa mahakamani. lkn swala hili lilofanywa kwa ofisa wa serekali kwa ajili ya kutumikia taifa limeachwa. jee kwa kuwa sio mwanasiasa?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Pole ndugu yangu MJI MKONGWE, post yako ni ngumu mno ndo maana inakosa wachangiaji.
   
Loading...