Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo yupo chini ya ulinzi wa polisi muda huu

Ukitaka kupata Tafsiri ya Ujanja ujanja, Utapeli na kubadili gia za angani kadri atakavyo Bosi wako Basi mfuatilie Saed Kubenea.

Mara ya kwanza walipokuwa wanajadili Namba gani itumike kupokea Michango ya Tundu Lissu lilipotajwa tu jina la Saed Kubenea kila Mtu kwny Kikao Aliguna mpaka walipobadili na kumpa Ester Matiku Hilo Jukumu
Ndio wanasiasa wetu hao ! Ukuta bwana ni shedaaaaaah
 
Huku ni kuitafutia nchi laana. Then, tunajihoji why wananchi wanafurahia Polisi wakiuwawa
 
kas

KASOME KANUNI ZA BUNGE NA MAMLAKA YA SPIKA KWA MBUNGE NDIYO ULETE UPUMBAVU WAKO HAPA KAMA MAMBO HUYAJUI BORA KUKAA KIMYA

Kwa hiyo swali langu la kipumbavu na bado limekushinda kujibu.

Taja kanuni inayompa Spika mamlaka ya kumlazimisha mtu ku testify.
 
Ndugai anazidisha sana dozi ya ARVs ndio maana anakusa kama mwehu na amevimba badala ya kunenepa
 
Spika anatumwa tuu wamemfungia gazeti sasa wanamtafuta yeye siasa mbovu sana sasa hivi huko mlikofika...
 
Utawala dhalimu ndivyo ulivyo!
Sasa hivi kuna mashindano ya kuagiza watu wakamatwe kuliko wakati mwingine wowote ule. Ma RC, ma DC na Spika kila mtu anakamata ili akajisifie kwa mkewe kuwa nimekamata.
 
Back
Top Bottom