Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo yupo chini ya ulinzi wa polisi muda huu

Ukitaka kupata Tafsiri ya Ujanja ujanja, Utapeli na kubadili gia za angani kadri atakavyo Bosi wako Basi mfuatilie Saed Kubenea.

Mara ya kwanza walipokuwa wanajadili Namba gani itumike kupokea Michango ya Tundu Lissu lilipotajwa tu jina la Saed Kubenea kila Mtu kwny Kikao Aliguna mpaka walipobadili na kumpa Ester Matiku Hilo Jukumu
Ndo sababu ya kubenea kukamatwa iyo?
 
wanasheria mnisaidie... Kwani spika anamamlaka ya kuamrisha mbunge akamatwe kama muhalifu na kufikishwa mbele ya kamati!? madaraka hayo yanatoka wapi kisheria!? naomba kujuzwa.

pia kwa mfano akifika kwenye kamati na akagoma kutoa ushirikiano, Atafanywa nn!?
Elewa kuwa Spika ni mkuu wa mhimili wa Bunge pia jua Kamati inao uwezo hata kutoa adhabu ya kifungo!!
 
Ukitaka kupata Tafsiri ya Ujanja ujanja, Utapeli na kubadili gia za angani kadri atakavyo Bosi wako Basi mfuatilie Saed Kubenea.

Mara ya kwanza walipokuwa wanajadili Namba gani itumike kupokea Michango ya Tundu Lissu lilipotajwa tu jina la Saed Kubenea kila Mtu kwny Kikao Aliguna mpaka walipobadili na kumpa Ester Matiku Hilo Jukumu
Umbeya kama mwanamke,siri za vikao unatoa za nini???
 
Ikumbukwe Mh. Kubenea alikuwepo bungeni wiki hii, lakini akiwa ameshaondoka Dodoma yupo Morogoro akapigiwa simu ya kurudi Dodoma ndipo alipowaambia kuwa asingerudi Dodoma kwa ku...wa alikuwepo huko na walishindwa kumhoji.
Chadema kuna tatizo la nidhamu na kushindwa kufuata sheria na kanuni.
Kubenea anapata wapi ubavu wa kukataa wito halali wa kamati ya nidhamu?Hata kama ulikuwepo kamati inafanya kazi kwa ratiba sio kwa kuangalia kubenea yupo Dodoma basi kamati ikae tu
 
Acha ujinga kukaririshwa, nyumbu wewe.
Mbunge Msukuma pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Greta nae ni mpinzani?

Tiini sheria bila shuruti, vinginevyo mtaishia sero huku mkitafuta huruma kijingajinga, eti wapinzani!, wapinzani au ni genge la wahuni wachache waliojificha kwenye siasa na demokrasia
The long walk to freedom! Pole sana kaka kubenea. Yana mwisho haya. Tunaowaunga mkono tupo tayar semeni sasa tufanyeje?
 
Elewa kuwa Spika ni mkuu wa mhimili wa Bunge pia jua Kamati inao uwezo hata kutoa adhabu ya kifungo!!
hii general explanation kwa mtu anayetaka kufahamu na kujifunza kama mimi...

Ungenipa reference ungekuwa umefanya msaada mkubwa.. otherwise sijaelewa
 
Hakuna aliyewahi kushiriki mipango miovu aliyebaki na akili nzuri. Huyu supika ukimwangalia kwa jicho la kiintelijensia utagundua ana alama za damu ya ze great TL.
 
Kamati ya bunge inatumia polisi kufikisha mbunge mbele ya kamati ....

Sielewi...acha nikalale... nikiamka nitakuwa na akili mpya
 
Yaani hapa ni mgogoro wa idadi ya risasi. Waweza kudhani Ndugai ana uhakika wa idadi ya risasi kana kwamba ndiye aliwapa wapigaji risasi idadi hiyo na kwa hiyo hapendi mtu mwingine ajifanye anajua idadi kamili wakati yeye ndiye alitoa idadi ya risasi alizotaja bungeni.

Anasahau kuwa watu wasiojulikana wanaweza kuwa waliokota risasi nyingine njiani kuhakikisha kazi yao inafanyika vema.
Dah mkuu umewaza mbali sana inavyo onekana
 
Kama hujawahi kusikia kwanini usiombe basi ueleweshwe au tafuta kanuni za bunge uzisome. Mbona simpo..?? Tumia akili walau basi wajameni


Sasa si uniambie wewe mjuaji ni kanuni gani anayotumia kuagiza jeshi la Polisi. Mimi hata sijui kusoma wala kuandika. Nisaidie
 
Back
Top Bottom