Mh rita mlaki,mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni,wala pesa za ujenzi wa barabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh rita mlaki,mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni,wala pesa za ujenzi wa barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Habarini za sikkuku wana ndugu,
  Natumaini wote u wazima,leo nimeona niwadokeze na hili tatizo lililotokea
  huku mbezi beach tanki bovu,waheshimiwa walitushtua walipoanza kutengeneza barabara iliyoachwa wazi miaka nenda rudi kwa wanaojua ni ile ya kushuka toka TANKI BOVU- RAINBOW,hii ni shotcut inayotumiwa na wengi na hurahisisha kkupunguza foleni za lugalo na kwingineko,sasa majuzi kidogo tukashangaa udongo unaletwa ,unashindiliwa tukahamaki mpaka watoto wetu he ndio uchaguzi ama Mungu katushukia,wengine ikabidi twende manispaa kinondoni tukaulizia,mmoja wa viongozi akatujibu tumepata hela tunawawekea lami;tuliporudi tukawauliza wanaosimamia inakuwaje wakadai sisi tumepewa hela ya kuweka hili vumbi yaani kifusai tushindile la ziada kamuulize mama mlaki,ama mkurugenzi wa kinondoni;tulipofika akakataa kuongea na mtu akatupa mtu wa kuongea nae akasema nyie mbona mna makelele sana kwanz amshukuru hata hilo kifusi anyway mtawekewa lami baadae,,...tuliposhuka toka gorofani nikakutana na mmoja wa wanaosimamia kule tankibovu akipandisha juu;tukasalimiana akasema ndugu ile bararbara ina mambo mengi;labda kwa ufupi hela ya lami imetolewa na mbunge wenu anajua hilo,ila yeye kushirikiana na mkurugenzi wa kinondoni wanacheza mchezo mchafu na baadhi ya viongozxi wengine kwa kuwawekea vumbi badala ya lami;sisi ESTIM TUMEAMBIWA WEKENI KIFUSI MKIMALIZA MSIONDOE MAGARI MAPAKA TUTAKAPOWAMBIA;KAZI ZA KIFUSI WAMESHASHINDILIA LONG SASA HAYA MAGARI SIJUI WANASUBIRI NINI;
  TUNAOMBA MH ATUJULISHE NINI KINAENDELEA KUHUSU HUU UHUNI WA KAMPUNI YA ESTIM CONSTRUCTION NA HUYU MH WA MANISPAA YA KINONDONI;HUU WIIZI UTAISHA LINI JAMANI????HATA WAKATI WA UCHAGUZI MNAIBA???
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huku ndo kutafuta pesa kwa nguvu kwa ajili ya uchaguzi?. Na kwa nini hao waliotenga pesa wasifuatilie kujua kama Lami imewekwa au wenyewe huidhinisha pesa linalofuata mtajijua wenyewe?. Huu ni upuuzi wa hali ya juu kwa hao walioidhinisha pesa na wasifuatilie kuona pesa zimetumikaje.Wanafikiri kufuatilia ni kazi ya wana habari tu?.Kama member wa JF na raia wa Tanzania naomba kujua mwisho wa hili.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  wapendwa kama uko na unaishi tanki bovu kwenye hiyo barabara naomba tushirikiane kujua hizi pesa zimeishia wapi kila mtu anaitaji mgao kama wanagawa na sie tugawiwe basi;swali zaidi haya magari wamepaki hayana kazi yanafanya nini;huku watu wakipiga makelele unakuta wanapitisha moja kama vile wanashindilia;;pesa zetu zipo zishato;ewa
  kunani tanzania jamani???
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwanahalisi, usiumize kichwa hiyo ndiyo kazi ya mheshimiwa diwani ambaye naamini ulishiriki kumchagua. Miradi yote ya maendeleo katika kata hupangwa na kupitishwa na baraza la madiwani kwa kesi hii (Halamlamshauri ya manispaa ya kindononi) hata kama hizo pesa ni msaada meya na baraza lake la madiwani ni lazima wapewe taarifa.

  Komaa na diwani wako akuambie anafahamu nini kuhusu hilo, kama atakuwa anatafuta maneno ya kukujibu ujue naya kalamba huyo, unakuwa na wakati mzuri kuchagua mtu mwingine wakati ukifika.

  Kumbbuka tunaelekea uchaguzi mkuu.
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mwanahalisi, you make me sick!!
  Kwa taarifa yako hela za barabara hiyo inyojengwa na Estim ni za Tanroads,
  Utaishia kusikiliza vijineno vya vibarazani kama porojo za vijiweni tu.
  Chunguza kabla ya kuandika.
   
 6. T

  Tsidekenu Senior Member

  #6
  Jan 4, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mheshimiwa, issue sio making you sick nor well, issue ni kwamba hela imetolew ya kuweka lami lakini limewekwa vumbi. wether hela ni za tanroads or donor or anyone, it is important explanation itolewe. hakuna sababu ya kushambuliana wakati ukweli unatakiwa ujulikane kwa manufaa ya taifa.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mwanahalisi anamaanisha kwamba issue siyo Rita wala mkurugenzi wa manispaa... tujifunze kuelewa hizo contracts zinakuwa managed vipi

  Kama Lole anakuwa sick mkutokana na manahalisi, ninamuelewa labda huyo mwanahalisi aje aweke taarifa yake sawa

  Tukumbuke sio kwamba mtu anaweza kuamka na mkurugenzi na mbunge wake kuanza kufanya maamuzi
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kazi ipo mwaka huu
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tsidekenu, pamoja na kuwasiliana na mkandarasi hapo site , wasiliana vile vile na Tanroads ujue ukweli wa mkataba.
  Vile vile kama uko makini, note kwamba mkandarasi BADO yuko site.
  Halafu kwa uelewa yako katika ujenzi wa barabara uwekaji wa lami ni hatua ya mwisho kabisa.
  Hatua za awali ni road formation na road base,ikifuatia na tabaka mbili au tatu za vifusi vya ubora tofauti kulingana na ugumu wa road base, tabaka hizo ni earthfill(kifusi unachokiona),subbase na mwisho basecourse.Ni baaada ya hapo tu unaweza kuongelea lami.
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Gwakisa sijui unaishi wapi lakini watu wa Mbezi Beach wana experience ya kutumiwa kama kitega uchumi na Meya wa Kinondoni ambae ndio diwani wao kwa kuiba fedha nyingi za barabara mara uchaguzi unapokaribia!! Sasa wanaMbezi naona wamestuka kuona mchezo anaocheza Londa ambae ni diwani wao unarudiwa tena karibu na uchaguzi na yeye inasemekana safari hii anataka ubunge na sio udiwani tena! Whether ni Tanroads au Municipality inayoJenga barabara hii ukweli unabaki pale pale kuwa fedha ni za umma na Estim Construction Co ni Kampuni ya Mafisadi PAPA WAKINA SUBASH PATEL AMBAO WANAWEZA KUSUKA DILI NA MAFSADI WENZAO WAKINA LONDA IKAJENGWA BARABARA YA KOKOTO BADALA YA LAMI NA ARUBAKI WAKAILAMBA KUJA KUHONGA WAKATI WA UCHAGUZI!! Watakaoumia ni wakazi wa Mbezi na ndio maana wanapiga kelele kuwa wanaibiwa!!
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Eee bana ee hii kali
  Mimi thiko huko!!
  Thubashi kama anathoma hii na athikie
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  gwakisa swalaa pesa zimetolewaa za lami nimekupa maelezo njoo hiyo barabara ukiwakuta baadhi ya wafanyakazi watakwambia kuhusu hilo'labda nikuelekeze kidogo mwezi nove walipita jamaa nikaichunguza ni kampuni ya mchaga mwenzetu akasema amepewa kazi ya kuweka kifusi;ndugu amemwaga vifusai si chini ya lori 70 akakodisha kampuni moja magari ya kusawazisha;wakaweka leve nzuri wakaleta na lile la kugandamiza ikawa level'unajua hawa estim wamefanyaje
  wamekuja majuzi wameleta garizao wameweka alama wakachimba kifusi chote kilichowekwa nov 28 wanadai wanaweka lami wanatafuta level;wakafanya hiyyo sehemu ndogo wakasimama wakaja huku karibu na rainbow wakaishia kuleta la kugandamiza ukiwauliz wanasema bwaana wanajua wenyewe si tumeambiwa tuje uku;baadae wakaishia kupaki magari yao;

  hata kama una elimu ya masjid pekee aikuingii akilini kweli???
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  lole gwakisa

  hili ni siri yako tu;kama unajua nyumba ya ukuta wa boma ilipoishia;kuna barabara inaingia kwa ndani mpaka sehemu za mchangani;wana ndugu hili mi lilinishinda.ukifika kwenye mchanga kule kuna kadaraja lilitolewa pesa za kutengeneza daraja ili iunganishwe na watu wa kawe;kilichotokea hapo anakijua londa na wenzake;wakaleta watu wahindi wakajifanya kutengeneza baada ya hapo wakaanza kuleta vifusi hivi tunavyopiga kelele leo kaka;vikashindiliwa tukaimbia mungu katuona lami inakuja leo kawawa anaondoka watu wanaendelea kudanganya awamwogopi MUNGU wala waasisis wa nchi hii
   
 14. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii habari kama utaisoma kwa umakiini sna utaona kuna kasoro nyingi sana na kuweka maswali mengi sana.

  Tunajuwa fika kuna barabara kuu ambazo zipo chini Tanroads na kuna baranara ndogo ndogo ambazo zipo chini ya manispaa.

  Vile vile pesa zote za Ujenzi wa barabara za manispaa zinakuwa chini ya kamati ya miundo mbinu ya manispaa lakini inaidhinishwa na baraza la madiwani na mbunge akiwa mjumbe na Mkurugenzi kama katibu wa baraza hilo.

  Sasa tunaposema Mkrugenzi na Mbunge wamekula pesa ndio najiuliza watakulaje pesa hizo pekee yao. Ni lazima baraza zima la madiwani litajuwa na watendaji kama mhandisi wa manispaa atajua dili nzima.

  Naomba tufanye uchunguzi kidogo kuondoa utata wa maelezo hususan kujua kama hiyo ni njia kuu au njia ndogo chini ya manispaa.

  Tuzizowee kutafuniwa kila kitu kama wanafunzi wa st st st
   
Loading...