Mh: Regia mtema na zito tunaomba muanzishe hili la television na redio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh: Regia mtema na zito tunaomba muanzishe hili la television na redio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GATS, Feb 27, 2011.

 1. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa niliowataja hapo nawaomba waanzishe mchakato wa kuanzisha Television na Redio ya CDM ili tuweze kuyapeleka mageuzi kwa kasi. Mtaniuliza pesa itatoka wapi. Nasema pesa tunazo tutazitoa ilikuanzisha hivyo vituo cha muhimu ni organizers kutoka kwenye chama.
  Tunaomba mliangalie hilo.
   
Loading...