Rais Magufuli, ziara yako mbeya tusadie kurudisha mashamba ya Kapunga na Mbalali

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi kwa utendaji wake wa kazi .

Naomba niseme nimefurahi sana kuona Mh Raisi kafanya ziara Mkoa wa mbeya ambapo kwa mujibu wa report itakuwa ni ya muda wa siku 8 atakuwa mkoani Humo, naomba mheshimiwa Raisi kuomba atusadie wananchi wa mkoa wa mbeya kurudisha mashamba ya Kapunga na mbalali kwa wananchi kwa sababu yalichukuliwa kiufisadi na ubabe sana na kibaya zaid wale wawekezaji wameshindwa kuyaendesha na wamebaki kunyanyasa tu wananchi

Kwa wale wasiojua Yale mashamba yamekuwa uti wa mgongo na mkombozi wa kiuchumi kwa wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kusini , tumepambana sana kutaka mashamba Yale yarudishwe lakin hatukupewa majibu sahihi Mh Tibaijuka alijitahidi kutaka kurudisha Yale mashamba lakin ghafula aliacha hatuelewi nini kiliendelea huko.

Kilio cha wananchi wengi mbeya na mikoa ya jirani ni uonevu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na mwekezaji
 
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi kwa utendaji wake wa kazi .
Naomba niseme nimefurahi sana kuona Mh Raisi kafanya ziara Mkoa wa mbeya ambapo kwa mujibu wa report itakuwa ni ya muda wa siku 8 atakuwa mkoani Humo, naomba mheshimiwa Raisi kuomba atusadie wananchi wa mkoa wa mbeya kurudisha mashamba ya Kapunga na mbalali kwa wananchi kwa sababu yalichukuliwa kiufisadi na ubabe sana na kibaya zaid wale wawekezaji wameshindwa kuyaendesha na wamebaki kunyanyasa tu wananchi , kwa wale wasiojua Yale mashamba yamekuwa uti wa mgongo na mkombozi wa kiuchumi kwa wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kusini , tumepambana sana kutaka mashamba Yale yarudishwe lakin hatukupewa majibu sahihi Mh Tibaijuka alijitahidi kutaka kurudisha Yale mashamba lakin ghafula aliacha hatuelewi nini kiliendelea huko. Kilio cha wananchi wengi mbeya na mikoa ya jirani ni uonevu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na mwekezaji
Mswahili mtayaweza kuyalima hayo mashamba.Isije ikawa kama Zimbabwe
 
.
NAOMBA ULE UZI NIMEPOST JUKWAA LA BIASHARA, UJASILIAMALI MODERATORS FUTENI ULE ACHEN HUU HAPA
 
Haji mbalali ofisi ya mkuu wa mkoa imemkwepesha uko.kwenye ratiba hamna ziara ya mbalali.
 
Back
Top Bottom