Mh. Raisi Magufuli kwa haya ya Makamba imetosha

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,395
20,630
Tunaomba awajibike, haiwezekani tuhuma kama hizi japo ni controversial lakini mwenyewe anakiri kuhusika indirectly pamoja na dada yake, haiwezekani na ni ngumu kuaminika katika baraza lako la mawaziri, infact hastahili kuwepo hapo

Watanzania tunapoteza muda kumfatitilia kiongozi kwa tuhuma ambazo hajazipinga ila anamsukumia dada yake, hili litapoa lakini kama kuna mengine yataibuka tuu awajibishwe uchunguzi ufanyike na ikijulikana ni kweli achukuliwe hatua za kisheria

Tuna imani kubwa sana na wewe kwa sasa viongozi wanafanya kazi, maofisa wanafanya kazi tumeshuhudia wala rushwa za laki moja japo ni kwa hearsay wamesimamishwa ili uchunguzi ufanyike, na huyu asimamishwe uchunguzi ufanyike na kama ilikuwa kweli awajibishwe jama ni uongo arudishwe kazini na aombwe msamaha. Ila AKAE PEMBENI NA OFISI ZA UMMA

Mods niachieni uzi wangu pls
 
Kwa kiongozi wa umma unawajibika kwanza uchunguzi unafuata/baadae na kwa mtumishi wa umma ni uchunguzi kwanza ikithibitika kinachofuata ni kuwajibika lakini hapa kwetu ni kinyume chake wacha makamba apete.
 
Leteni kampeni fukuza janury il à
Magu hamuwezi ndo hapo mnafiki anajulikana
 
Back
Top Bottom