Mh.Rais Waarabu wanatumia Wahindi kutuibia kwakigezo cha wataalam wabobezi

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
1,231
2,400
Asalaam Aleykum!
Mh.Rais najua unania kwelikweli ya kuibadili Tanzania ili watanzania wanufaike na nchi yao.Kwakua umeonesha dhamira ya kweli isiyokua na shaka tupo tayari kukusaidia kupata taarifa kila kona ya nchi yetu.
Napenda kukufahamisha kwamba Wahindi sio watu wa kucheka nao hata kidogo kwajinsi ambavyo wanafanya wizi wa Mabilioni kwakudanganya katika taarifa za hesabu katika biashara za makampuni ambayo wanafanya kazi.Kama serikali itajipanga vizuri hela ya kujenga reli ya umeme inapatika kariakoo na posta pekee.Kitu kinachoumiza zaidi ni kuwanyanyasa na kutudharau sisi wenye nchi yetu pamoja na serikali yetu.
Ushauri :Serikali iige sheria ya TFF ya kila timu kuwa na idadi maalum ya wachezaji wa kigeni,ninachomaanisha ni kwamba kila kampuni ya kigeni inayokuja kuwekeza Tanzania au Wawekezaji wa hapa hapa wenye asili ya Asia au Ulaya. kuwe na idadi maalum ya wafanyakazi wenye asili ya nje ya nchi.Mfano kama kampuni ya muhindi basi wafanyakazi wa Kihindi wawe watano pekee,hivyo hivyo kwa Waarabu,wachina na wazungu.Napendekeza idadi ya wafanyakazi wenye asili ya nje ya nchi iwe WATANO.Kwakufanya hivyo utakua unapunguza tatizo la ajira na Watanzania watanufaika na nchi yao.
 
Back
Top Bottom