Mh Rais waambie wateule wako, kura zetu zina thamani sana na zimekuweka pahala patakatifu. Kauli ya Hasunga ni mbaya mno

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,364
Hiv kweli, kwa hiyo hawa wauza kondomu wanatakiwa kuuza bei yoyote kisa sisi tunazihitaji sana kweli?

Kweli bei ya kuvuka ni Shilingi 200, asiyekuwa na uwezo apige mbizi? Hivi kweli Rada lazima inunuliwe hata kama hutataki tule nyasi?

Hivi kweli sisi wakulima tufyatue tu kisa tunalima na kula na kushiba?

Nina maswali mengi yanayolenga uzalilishaji wanaoambiwa watanzania na wanasiasa. Narejea tena Mh. Rais thamani ya kula yangu ni kubwa sana kwako, wajulishe wateule wako.
 
Unajibidisha na siasa za kifala mnaacha mambo ya thamani ,

Jpm piga kazi Fanya mambo ya maana achana na hii misukule

State agent
 
Ni kweli kabisa tujiandae kisaikolojia, hali ya uchumi itakuwa mbaya sana, ajira litakuwa janga kubwa sana, kutakuwa na ukame wa kutisha kama Zimbabwe.
Shirika la ndege litakuwa hoi bin taabani, ndege zetu zitakodishwa tena sauzi.
Waajiriwa wa serikali wasahau nyongeza ya mishahara, kwa kifupi tutakuwa tunaelea ndani ya vikwazo vya kiuchumi vya mabeberu kama jiwe hatajirekebisha!
 
Hiv kweli, kwa hiyo hawa wauza kondomu wanatakiwa kuuza bei yoyote kisa sisi tunazihitaji sana kweli?

Kweli bei ya kuvuka ni Shilingi 200, asiyekuwa na uwezo apige mbizi? Hivi kweli Rada lazima inunuliwe hata kama hutataki tule nyasi?

Hivi kweli sisi wakulima tufyatue tu kisa tunalima na kula na kushiba?

Nina maswali mengi yanayolenga uzalilishaji wanaoambiwa watanzania na wanasiasa. Narejea tena Mh. Rais thamani ya kula yangu ni kubwa sana kwako, wajulishe wateule wako.

Best leo umechefukwaa
 
Mkuu ni thamani ya kula yako au kura yako?
 
Back
Top Bottom