Mh Rais usinilaumu ulinivalisha suruali bila nguo ya ndani sasa tazama surual imechanika makalio yote yapo nje mwaa!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nianze kwa kuwasalimu wananji wenzangu wa Tanzania huku nikitoa pole kwa wale ambao wapo karantini na familia ya Mzee Mbowe dhidi ya maradhi yanayoikabili familia yake.

Niende kwenye mada ndugu zangu, nadhani mnakumbuka baada ya uchaguzi kuisha Rais aliapishwa na baada ya kuapishwa tu aliingia jumba jeupe na kumkuta mwenzake na mwenzake alimwachia jumba hilo.

Kwa kifupi naweza sema watanzania walimvalisha suruali ya Urais Mh Rais.

Mimi staki kukubali kuwa walimvalisha suruali paspo hiyo niliyoitaja hakika walimvalisha nguo zote stahiki wakiamini sasa yu jemedari anayeweza chapa kazi.

Baada ya yeye kuvishwa sawa sawa alianza kuwateua alioona wanafaaa kuwa mawaziri na wakuu wa mikoa. kwa kifupi katika lugha yangu aliwavisha suruali pamoja na nguo nyingine niliyoitaja.

Tupo tulio piga kelele yakuwa wapo wakuu wa mikoa waliotakiwa kupewa Semina ya uongozi kwani nafasi walizopewa awakuwa na uwezo nazo mmoja wapo enzi hizo alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar.

Yaani kwa kifupi tulimuomba Mh Rais kwa kuwa amewavisha suruali watu hao basi asisahau nguo ya ndani yaani semina elekezi kwa watu hao.

Maombi yetu na wenzangu hayakusikilizwa Makonda na wenzake wakaendelea kuvaaa suruali walizovishwa paspo Chupi Mwisho wa yote madhara yake ni kuwa suruali zinachanika wananchi wanaona makalio ya makonda na wenzake yakiwa wazi

Ninajitaidi kutumia lugha hii ili Mh Rais unielewe kwa hakika haiwezekani mikusanyiko hisyo ya lazima inazuiwa tena na wewe Mh Rais,MAKONDA anajitokeza hadhalani mbele ya mkusanyiko husio wa lazima anahutubia wanachi anawambia anashukuru Mwenyezi Mungu familia ya mbowe imeshikwa na corona wakati huo akijua fika kuwa Wewe Mh rais unatoa pole kwa familia ya mbowe na unasikitika.

Yaani Rais analia makonda anacheka hahhahahaha sijui niweke wimbo gani au nisikilize wimbo gani ambao nitajua kabisa wewe Mh Rais ukiuskia unalia ila Makonda akiuskia ana rukaruka na kushukuru.

Yote kwa yote Mh Rais uchaguzi ukiisha ukawavisha suruali watu wako hakikisha umewavisha chupi ili suruali ikichanika bas nakalio lisitiliwe.

sifileo kesho ikifika nitakuwa tayari kufa.
 
Nianze kwa haiwezekani mikusanyiko hisyo ya lazima inazuiwa tena na wewe Mh Rais,MAKONDA anajitokeza hadhalani mbele ya mkusanyiko husio wa lazima anahutubia wanachi anawambia anashukuru Mwenyezi Mungu familia ya mbowe imeshikwa na corona wakati huo akijua fika kuwa Wewe Mh rais unatoa pole kwa familia ya mbowe na unasikitika.
Duh...!.
P
 
Nianze kwa kuwasalimu wananji wenzangu wa Tanzania huku nikitoa pole kwa wale ambao wapo karantini na familia ya Mzee Mbowe dhidi ya maradhi yanayoikabili familia yake.

Niende kwenye mada ndugu zangu, nadhani mnakumbuka baada ya uchaguzi kuisha Rais aliapishwa na baada ya kuapishwa tu aliingia jumba jeupe na kumkuta mwenzake na mwenzake alimwachia jumba hilo.

Kwa kifupi naweza sema watanzania walimvalisha suruali ya Urais Mh Rais.

Mimi staki kukubali kuwa walimvalisha suruali paspo hiyo niliyoitaja hakika walimvalisha nguo zote stahiki wakiamini sasa yu jemedari anayeweza chapa kazi.

Baada ya yeye kuvishwa sawa sawa alianza kuwateua alioona wanafaaa kuwa mawaziri na wakuu wa mikoa. kwa kifupi katika lugha yangu aliwavisha suruali pamoja na nguo nyingine niliyoitaja.

Tupo tulio piga kelele yakuwa wapo wakuu wa mikoa waliotakiwa kupewa Semina ya uongozi kwani nafasi walizopewa awakuwa na uwezo nazo mmoja wapo enzi hizo alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar.

Yaani kwa kifupi tulimuomba Mh Rais kwa kuwa amewavisha suruali watu hao basi hasisisaau Chupi yaani semina elekezi kwa watu hao.

Maombi yetu na wenzangu hayakuskilizwa makonda na wenzake wakaendelea kuvaaa suruali walizovishwa paspo Chupi Mwisho wa yote madhara yake ni kuwa suruali zinachanika wananchi wanaona makalio ya makonda na wenzake yakiwa wazi

Ninajitaidi kutumia lugha hii ili Mh Rais unielewe kwa hakika haiwezekani mikusanyiko hisyo ya lazima inazuiwa tena na wewe Mh Rais,MAKONDA anajitokeza hadhalani mbele ya mkusanyiko husio wa lazima anahutubia wanachi anawambia anashukuru Mwenyezi Mungu familia ya mbowe imeshikwa na corona wakati huo akijua fika kuwa Wewe Mh rais unatoa pole kwa familia ya mbowe na unasikitika.

Yaani Rais analia makonda anacheka hahhahahaha sijui niweke wimbo gani au nisikilize wimbo gani ambao nitajua kabisa wewe Mh Rais ukiuskia unalia ila Makonda akiuskia ana rukaruka na kushukuru.

Yote kwa yote Mh Rais uchaguzi ukiisha ukawavisha suruali watu wako hakikisha umewavisha chupi ili suruali ikichanika bas nakalio lisitiliwe.

sifileo kesho ikifika nitakuwa tayari kufa.
Duuuuuuuuuh. No comment!
 
unauhakika atapewa tena usukani? maana jinsi alivolisukuma hili LOLI mpaka alipofikia mwenyewe umiona
kuna uwezekano yakafanyika tusiyoyatarajia na maisha yakabadilika. JIANDAE KUKUBALI.
 
Taarifa za mwisho zilisema sanduku lina wagonjwa kumi na kabili, ila wa kumi na katatu ndo mgonjwa pekee aliyetangwazwa kwa jina na familia atokayo huku Mungu akishukuriwa kwa Moto huo.........Funga zipu usonge na maisha.
 
Daah ukisema Karma is real inamaanisha labda unaombea Covid 19 iende kwa fulani......anyway sababu ugonjwa bado unaendelea wacha tuone.....
Nimekutana nae DOM naskia kaweka kambi mpaka KOLONA ipotee. kakikimbia DAR kuna 'KOLONA'
 
Nianze kwa kuwasalimu wananji wenzangu wa Tanzania huku nikitoa pole kwa wale ambao wapo karantini na familia ya Mzee Mbowe dhidi ya maradhi yanayoikabili familia yake.

Niende kwenye mada ndugu zangu, nadhani mnakumbuka baada ya uchaguzi kuisha Rais aliapishwa na baada ya kuapishwa tu aliingia jumba jeupe na kumkuta mwenzake na mwenzake alimwachia jumba hilo.

Kwa kifupi naweza sema watanzania walimvalisha suruali ya Urais Mh Rais.

Mimi staki kukubali kuwa walimvalisha suruali paspo hiyo niliyoitaja hakika walimvalisha nguo zote stahiki wakiamini sasa yu jemedari anayeweza chapa kazi.

Baada ya yeye kuvishwa sawa sawa alianza kuwateua alioona wanafaaa kuwa mawaziri na wakuu wa mikoa. kwa kifupi katika lugha yangu aliwavisha suruali pamoja na nguo nyingine niliyoitaja.

Tupo tulio piga kelele yakuwa wapo wakuu wa mikoa waliotakiwa kupewa Semina ya uongozi kwani nafasi walizopewa awakuwa na uwezo nazo mmoja wapo enzi hizo alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar.

Yaani kwa kifupi tulimuomba Mh Rais kwa kuwa amewavisha suruali watu hao basi hasisisaau Chupi yaani semina elekezi kwa watu hao.

Maombi yetu na wenzangu hayakuskilizwa makonda na wenzake wakaendelea kuvaaa suruali walizovishwa paspo Chupi Mwisho wa yote madhara yake ni kuwa suruali zinachanika wananchi wanaona makalio ya makonda na wenzake yakiwa wazi

Ninajitaidi kutumia lugha hii ili Mh Rais unielewe kwa hakika haiwezekani mikusanyiko hisyo ya lazima inazuiwa tena na wewe Mh Rais,MAKONDA anajitokeza hadhalani mbele ya mkusanyiko husio wa lazima anahutubia wanachi anawambia anashukuru Mwenyezi Mungu familia ya mbowe imeshikwa na corona wakati huo akijua fika kuwa Wewe Mh rais unatoa pole kwa familia ya mbowe na unasikitika.

Yaani Rais analia makonda anacheka hahhahahaha sijui niweke wimbo gani au nisikilize wimbo gani ambao nitajua kabisa wewe Mh Rais ukiuskia unalia ila Makonda akiuskia ana rukaruka na kushukuru.

Yote kwa yote Mh Rais uchaguzi ukiisha ukawavisha suruali watu wako hakikisha umewavisha chupi ili suruali ikichanika bas nakalio lisitiliwe.

sifileo kesho ikifika nitakuwa tayari kufa.
Naona hapa tulipo fikia ni pabaya sana na huyu huyu Bashite ameamua kuturudisha kwenye siasa za jino kwa jino za kipindi cha cuf ya Zanzibar, yaani wana ccm walikuwa wanasherehekea pale mwana cuf akipatwa na matatizo hasa misiba.

Vile vile wana cuf walikuwa wanafanya sherehe pale mwana ccm akipatwa na msiba na hata kutofika kwenye misiba ya pande hizo mbili.

Sasa Bashite kwa kufirahia mtoto wa kiongozi wa upinzani kupatwa na corona gonjwa linao ua sana basi nasi wapunzani tutaanza kufurahia kila madhara yakiwapata wana ccm.

In God we Trust
 
Aiseeeeh

Lugha ngumu sana
Na iliyopangiliwa sana!
Ila, wadaku wananong'ona kuwa huyo DAB ndiye anayeshikilia switch ya Mzee. Ndio maana anafanya lolote akijua hatafanywa chochote!
Angekuwa mwingine, kusingekucha leo bila kutupwa nje, ikiwa ni pamoja na kuambiwa achukuliwe hatua kwa kukiuka AMRI HALALI, na kuhatarisha afya za watu!
unauhakika atapewa tena usukani? maana jinsi alivolisukuma hili LOLI mpaka alipofikia mwenyewe umiona
kuna uwezekano yakafanyika tusiyoyatarajia na maisha yakabadilika. JIANDAE KUKUBALI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom