Mh Rais, umetufurahisha WaTz vya kutosha, sasa ni zamu ya kuwafurahisha wazungu ili waendelee kukata pochi!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
Sijui kama nitamvunjia heshima lakini namuona kiongozi wetu wa juu kama ni mtu mjanja-mjanja kwa lugha ya kiingereza wanasema, a clever person, kwa jinsi anavyojitahidi ku meet demands mbali mbali za wananchi pamoja na interest groups.

Kwa vile tuna mambo mengi ya kufanya, ni vyema kumeet interest za wazungu ili waendelee kutukatia pochi nene.

Even though we dont agree with them completely, but let us play a game that will please them but make us money, as a country.
One of the thing, is to show them that something is hapening on the ground even if, something is actually not happening.

Cha kufanya hapa kuhusu maswala wanayoyapigia kelele kama demokrasia, sijui wanafunzi waliopata mimba nk, ishu ni simple tu.

Wachukue JKT, wafyatue tofali za kuchoma, tukajenge shule ya bweni kwa ajili ya ku accomodate wanafunzi-wazazi pamoja na vichanga vyao, mradi ambao hautogharimu hata Tsh bilioni tano.

Pia tafuta wapinzani uchwara kama kumi, wape teuzi nyepesi nyepesi, kisha mwambie balozi Mahiga aandae riport nzuuri ya kuwapelekea wazungu, wakikata pochi, sie tunaenda kujenga Stigler's Gorge! Si ujanja huo?
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,433
2,000
hakunaga wanaume wabishi km wasukuma..hawakubaligi kushindwa..pole.. yaan ht kafeli bado atajitanua mibavu kuonekana yy kidume... naandika haya NIKIMAANISHA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom