lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Mh,rais ukita ushirikiano na vyama vya siasa tafuta maridhiano,mh,rais duniana kote jeshi na silaa,vitisho havijawahi kuleta umoja katika taifa lolote lile duniania,isipokuwa mataifa yote duniani maridhiano pekee ndio njia ya kuleta umoja
Mh rais kama kweli unataka nchi yetu isonge mbele kuwepo na umoja na mshikamano waite ukawa mridhiane mfikie mwafaka ni njia gani ya kuongoza taifa hapo utakuwa umeunganisha baadhi ya tofati za kisiasa zilipo kwa sasa kwa kiasi kikubwa japo hutaweza kumaliza kabisa tofauti zote za kisiasa,maana tofauti za mawazo ni za asili mwanadamu anazaliwa nazo
Mh,rais mfano mzuri ni mwalimu nyerere, mwalimu nyerere alifanya zowezi la kuunganisha vyama kwa kufanya maridhiano na akafanikiwa,mfano mwingine ni mh rais karume naye pia alishafanya maridhiano na cuf na ccm Zanziba na mh karume akafanyikiwa sana ,karume alifanya maridhiano baada ya njia ya jeshi na vitisho kushidwa kuleta umoja mh, rais ukitumia njia ya maridhiano utafanikiwa unayoyataka na utaifikisha tanzania mahali unapotaka,lkn ukitumia vitisho na nguvu za dola huwezi kuleta umoja mpaka kiama kije
Hayo ni maoni yangu kama raia wa tanzania