Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

Acha
kawalalamikieni mama zenu, vichwa vyenu vimejaa funza kwan lazima uwe mwalimu??? Mbona wenzio tumeacha na tunatusua tu life kama kawa???
Acha ujinga, kila mtu awe kama ulivyo Wewe itawezekana. Kweli machizi ni wengi sana Tanzania.
 
Ndugu
Serikali isitishe mikataba ya ajira kwa walimu waliozidi warudi mtaaani watafute ajira mpya badala ya huko msingi walikopelekwa, kutwa kucha ni malalamiko tuuuuu. Piga chin ngwini hizo
Ndugu hakuna walimu waliozidi, kinachokimbiwa hapa ni ajira mpya kwa walimu wa grad A, . Sekondari walimu wanahitajika sana , wanafunzi ni wengi na hata idadi ya shule za sekondari hazitoshi kubeba wahitimu wote wanaofaulu toka primary.
 
Eti awe kama mimi, nkikwambia mwenzio nlikuwa mwalimu na nkaubwaga hauotoamin kwakuwa akili yako ni sawa na mafuta yakimbo kwamba kutusua maisha mpaka uwe mwalimu, # wikalaga bahoo
 
Ndugu
Serikali isitishe mikataba ya ajira kwa walimu waliozidi warudi mtaaani watafute ajira mpya badala ya huko msingi walikopelekwa, kutwa kucha ni malalamiko tuuuuu. Piga chin ngwini hizo
Ndugu hakuna walimu waliozidi, kinachokimbiwa hapa ni ajira mpya kwa walimu wa grad A, . Sekondari walimu wanahitajika sana , wanafunzi ni wengi na hata idadi ya shule za sekondari hazitoshi kubeba wahitimu wote wanaofaulu toka primary.
 
Leo nimepata taarifa toka Njombe, walimu wamemvaa Mkuu wa mkoa, wanataka stahiki zao za Uhamisho, walimu hawa wanafundisha saa ngapi? Serikali walipeni hwa walimu fedha zao , au sitisheni hilo zoezi la uhamisho.
 
Back
Top Bottom