Mh Rais turudishie zile semina za MADC MARC ili viongozi wajue mipaka ya kuongea mbele ya Wananchi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,936
2,000
Inasikitisha sana kila Rc anaongea yake mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI

MH kwa HILI TUNAOMBA baba warudishe kasemina kidogo wajue.mwenzao anapokosea NJIA gani itumike.kuwasilisha.hisia na sio kumwagikahadharani
Screenshot_20200215-091742.png

Wajuee mipaka yaoo n.ipii HILI n jamboo jema sana kwa taifaa
 
Attachments

  • Screenshot_20200215-091748.png
    File size
    263.2 KB
    Views
    0

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,981
2,000
Hilo tatizo hata Rais mwenyewe analo!Nani wa kumpa semina Rais?
 
Smiling killer

JF-Expert Member
May 1, 2018
1,051
2,000
INASIKITISHA sanaa kila Rc anaongea YAKE mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI

MH kwa HILI TUNAOMBA baba warudishe kasemina kidogo wajue.mwenzao anapokosea NJIA gani itumike.kuwasilisha.hisia na sio kumwagikahadharani View attachment 1358151

Wajuee mipaka yaoo n.ipii HILI n jamboo jema sana kwa taifaa
Yeye mwenyewe hajui kitu gani cha kuongea mbele ya hadhara
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
23,985
2,000
Haya mambo haya, kwani si kuna afisa tawala wa wilaya, sasa kwanini hilo swali ajibu mkurugenzi wa wilaya?

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,781
2,000
Inasikitisha sana kila Rc anaongea yake mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI

MH kwa HILI TUNAOMBA baba warudishe kasemina kidogo wajue.mwenzao anapokosea NJIA gani itumike.kuwasilisha.hisia na sio kumwagikahadharani View attachment 1358151

Wajuee mipaka yaoo n.ipii HILI n jamboo jema sana kwa taifaa
Hiyo semina aanze kupewa Rais mwenyewe kwa nafasi yake kama rais halafu apewe tena rais mwenyewe kwa nafasi yake kama mteuzi ya hawa waropokaji dc na rc
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom