Tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu J.P.M wananchi wa Tanzania tupewe haki yetu ya kuwinda wanyamapori kwa kufuata sheria na kanuni za uwindaji na sio kubaguliwa nchini mwetu na wizara husika kwa kuifanya burdani hii ni ya wageni tu tunamuomba Mheshimiwa Raisi wetu afuatilie wizara hii