Mh.rais tunakuomba utusaidie wananchi wako wa mwenge

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Mh,rais tunakuomba utusaidie ss wananchi wako wa mwenge mh rais,mh,rais ss wananchi wako wa mwenge tumejitahidi tumejiajiri wenyewe,na tunafanya kazi kwa bidii mh rais,mh rais sisi wananchi wako wa mwenge tunachokuomba,ni kitu kimoja tu mh rais,ni kuwaagiza askari wako wa kituo cha kijitonyama,na kituo cha mwenge waturuhusu tuwe tunapaki magari yetu wakati wa kushusha mizigo yetu madukani kwetu mh rais,
Mh,ss wananchi wako tunakuomba,tunakuheshimu,na tunakutii kwa maelekezo yako unayoyatoa kwa taifa mh rais,tunakuomba sana sana mh rais tusaidie mh
Tunakuombea mungu akubariki akupe afya njema yakuweza kulitumia taifa kwa bidii,na nguvu zako zote
 
Back
Top Bottom