Mh Rais tumekuelewa kuwa umeamua kimsingi kuivua Tume ya Uchaguzi madaraka yake Toka lini polisi wakasimamia uchaguzi?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mh rais tumekuelewa kuwa umeamua kimsingi kuivua Tume ya Uchaguzi madaraka yake
Toka lini polisi wakasimamia uchaguzi?

Na usalama wa raia uwe jukumu la Tume ya Uchaguzi
Kuna busara ya MTU MZIMA KUFUNGWA BREKI

Utawaponza polisi i swear, TUTAGAWANA MAUMIVU TUTAKAPOONEWA
Jua hatuna utayari wa kupoteza kwa ubabe wa polisi wako
Tutafuata sheria katiba na kanuni zote zinazoruhusu demokrasia ya vyama vingi
Tutafanya mikutano, tutafanya siasa TAKA MSITAKE
Ueni, tutieni vilema, tufungeni.

TUSITISHANE

Jueni mna familia kama sisi, wanetu wakiwa yatima kwa silaha zenu jiandaeni na nyie kuacha mayatima kwa nguvu za
MUNGU
Na nyie na dola yenu fanyeni mtakavyo but mjue MUNGU SIO MJOMBA WENU

Inatosha sasa
Yametufikaaaa hapaaaaaaaaaaaa
Uvumilivu sio utakatifu
We will fight if neccessary___________we know we shall win__________the good will over the evil
Tanzania stand up!!!
 
Zile siasa za kikondoo zilizoletwa upinzani kwa kisingizio cha siasa za kistaarabu mmeshaziondoa? Mmekaribisha wazee toka ccm wanaishia kuwapoteza kwa kuwafundisha siasa za woga kwa faida ya ccm.
 
Ombeeni tu ubabe wa polisi mtaupata maana mliombea siasa kuwa marufuku na hakika mmejibiwa maombi yenu.
Mkimisinterprete matamko na utekelezaji wake utakuwa hivyo hivyo na hamtakuwa na la kufanya.
 
Mh rais tumekuelewa kuwa umeamua kimsingi kuivua Tume ya Uchaguzi madaraka yake
Toka lini polisi wakasimamia uchaguzi?

Na usalama wa raia uwe jukumu la Tume ya Uchaguzi
Kuna busara ya MTU MZIMA KUFUNGWA BREKI

Utawaponza polisi i swear, TUTAGAWANA MAUMIVU TUTAKAPOONEWA
Jua hatuna utayari wa kupoteza kwa ubabe wa polisi wako
Tutafuata sheria katiba na kanuni zote zinazoruhusu demokrasia ya vyama vingi
Tutafanya mikutano, tutafanya siasa TAKA MSITAKE
Ueni, tutieni vilema, tufungeni.

TUSITISHANE

Jueni mna familia kama sisi, wanetu wakiwa yatima kwa silaha zenu jiandaeni na nyie kuacha mayatima kwa nguvu za
MUNGU
Na nyie na dola yenu fanyeni mtakavyo but mjue MUNGU SIO MJOMBA WENU

Inatosha sasa
Yametufikaaaa hapaaaaaaaaaaaa
Uvumilivu sio utakatifu
We will fight if neccessary___________we know we shall win__________the good will over the evil
Tanzania stand up!!!
Kwenye majaribio walisimamia Ukonga wakafauru na sherehe wakafanya, tatizo liko wapi?
 
Teh
Screenshot_20181221-211354.jpeg
 
Mh rais tumekuelewa kuwa umeamua kimsingi kuivua Tume ya Uchaguzi madaraka yake
Toka lini polisi wakasimamia uchaguzi?

Na usalama wa raia uwe jukumu la Tume ya Uchaguzi
Kuna busara ya MTU MZIMA KUFUNGWA BREKI

Utawaponza polisi i swear, TUTAGAWANA MAUMIVU TUTAKAPOONEWA
Jua hatuna utayari wa kupoteza kwa ubabe wa polisi wako
Tutafuata sheria katiba na kanuni zote zinazoruhusu demokrasia ya vyama vingi
Tutafanya mikutano, tutafanya siasa TAKA MSITAKE
Ueni, tutieni vilema, tufungeni.

TUSITISHANE

Jueni mna familia kama sisi, wanetu wakiwa yatima kwa silaha zenu jiandaeni na nyie kuacha mayatima kwa nguvu za
MUNGU
Na nyie na dola yenu fanyeni mtakavyo but mjue MUNGU SIO MJOMBA WENU

Inatosha sasa
Yametufikaaaa hapaaaaaaaaaaaa
Uvumilivu sio utakatifu
We will fight if neccessary___________we know we shall win__________the good will over the evil
Tanzania stand up!!!
Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom