Mh. Rais, tengeneza mfumo kupitia sheria!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Mh. Rais kwanza nikupongeze kwa juhudi zako za wazi kabisa za kuinyoosha nchi ambazo sisi wananchi tumeziona na tunaziunga mkono!

Juhudi hizi ni hatua moja kubwa sana kuelekea Tanzania ya maendeleo!

Mh. Rais, ili juhudi hizi zisikome pale utakapomaliza muda wako kama Kiongozi wa Taifa hili, ni vyema ukaandaa mifumo ambayo itapelekea nchi kujiendesha kwa ufanisi bila kutegemea weledi wa yeyote!

Mfumo ambao yeyote anaweza kuwepo lakini bado matokeo yakawa Yale Yale, wengi tunayoyataka!.

Mh. Rais, moja wapo ya namna nzuri kabisa ya kutengeneza mifumo ni kwa kupitia sheria!

Sheria kwa muda mrefu sana imekua nyenzo bora kabisa ya kushape society!

Sheria imesaidia kutatua changamoto nyingi sana over the years!

Kupitia sheria jamii zimekua zikirithishana tamaduni na kanuni mbali mbali!

Mfano , tunataka labda safari za Rais ziwe controlled, itungwe tu sheria ndogo itakayoweka kikomo cha safari za rais kwa mwaka siku na mwezi! Kuwe na utaratibu wa kuhakikisha kua yote hayo yanafanyika.

Kupitia sheria mambo mengi sana yatasuluhishwa na tutakua tumetengeneza system ambayo itakua inajiendesha yenyewe!

Asante kwa kuzingatia haya, na ni imani yangu kwamba, itatokea ikawepo juhudi kuhakikisha kwamba mifumo bora inajengwa kupitia sheria, that will be your legacy sir! Thanks!
 
chizi anamuelekeza hamnazo
Unajua nini mkuu, wasiwasi wa vyama vya upinzani ni kupoteza wateja wao! Nawaomba tu mliunge hili mkono kwa faida ya nchi yetu otherwise mtakua MNA ajenda yenu ya siri!
 
Ninachokushangaa unasema atengeneze Sheria .siungesema katiba sio uzunguke mbuyu we punguani wa lumumba
Kumbe hata hujui kua hujui??? Katiba haiwezi beba kila kitu!!!

Ndio maana nasema sheria maana huko hata bylaws zitasaidia! Jifunze then come and argue!
 
Mh. Rais kwanza nikupongeze kwa juhudi zako za wazi kabisa za kuinyoosha nchi ambazo sisi wananchi tumeziona na tunaziunga mkono!

Juhudi hizi ni hatua moja kubwa sana kuelekea Tanzania ya maendeleo!

Mh. Rais, ili juhudi hizi zisikome pale utakapomaliza muda wako kama Kiongozi wa Taifa hili, ni vyema ukaandaa mifumo ambayo itapelekea nchi kujiendesha kwa ufanisi bila kutegemea weledi wa yeyote!

Mfumo ambao yeyote anaweza kuwepo lakini bado matokeo yakawa Yale Yale, wengi tunayoyataka!.

Mh. Rais, moja wapo ya namna nzuri kabisa ya kutengeneza mifumo ni kwa kupitia sheria!

Sheria kwa muda mrefu sana imekua nyenzo bora kabisa ya kushape society!

Sheria imesaidia kutatua changamoto nyingi sana over the years!

Kupitia sheria jamii zimekua zikirithishana tamaduni na kanuni mbali mbali!

Mfano , tunataka labda safari za Rais ziwe controlled, itungwe tu sheria ndogo itakayoweka kikomo cha safari za rais kwa mwaka siku na mwezi! Kuwe na utaratibu wa kuhakikisha kua yote hayo yanafanyika.

Kupitia sheria mambo mengi sana yatasuluhishwa na tutakua tumetengeneza system ambayo itakua inajiendesha yenyewe!

Asante kwa kuzingatia haya, na ni imani yangu kwamba, itatokea ikawepo juhudi kuhakikisha kwamba mifumo bora inajengwa kupitia sheria, that will be your legacy sir! Thanks!
Umezunguka bure,ulitaka kusema KATIBA.hata hivyo naona nafuu inapatikana ndio chakushukuru.
 
Final one by one you're coming to your sense..
 
Naunga mkono hoja
Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! We Need a System, Not a 1-Man Show
Paskali
 
Back
Top Bottom