Mh. Rais: Tatizo hili ni kubwa, Okoa watanzania

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
Mh Rais nimeamua kila siku nikiamka kuanzisha hii thread labda utasikia na watu wako kusikia pia..
MH PALE UHAMIAJI NA WIZARA YA KAZI KUNAHITAJI MABADIRIKO MAKUBWA NA AKILI MPYA KILA PAHALA ILI KUOKOA VIJANA,WASOMI NA WATANZANIA WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI.
mkuu tatizo la ajira ni kubwa lakini zaidi ya 45% ya tatizo hili linasababishwa na hizi taasisi mbili UHAMIAJI NA WIZARA YA KAZI, mh Rais wetu kuna wageni wengi wamechukua ajira za watanzania hapa, nina maana wanafanya kazi ambazo watanzania wengi wangeweza kuzifanya, wapo watu wanafanya biashara ambazo hata watanzania wengine wanazifanya na wao huja na mitaji mikubwa kiasi kwamba huwameza watanzania, mfano mchina ana crusher la mawe anasaga kokoto na mchina mwingine kapewa tenda ya barabara, unafikiri huyu mchina wa barabara kokoto atanunua wapi??? wenzetu wanatumia advantage hii kutuzidi na kutuacha hatusongi mbele na mbaya hawa watu hela yote inarudi china, lisimamie hili mkuu kwenye ujenzi wa bandari ya bagamoyo vinginevyo tenda zote watapeana wachina na hela kurudi china..
MH Rais UHAMIAJI NA WIZARA YA KAZI wamegawa vibali kama peremende hapa, kuna watu wako hapa tanzania wanafanya kazi na TOUARIST VISA na work permit wanapewa, watanzania wanafanya kazi bila mikataba na hicho kima cha chini mlichoweka hawapewi wakipeleka malalamiko kwa wahusika ni mwendo wa kudharauliwa utafikiri Wizara ya kazi ni ya wamarekani..

MH RAIS TATIZO NI KUBWA OKOA NDUGU ZAKO TANZANIA ISONGE MBELE NA SIO TUNAJENGA MATAIFA MENGINE TUKIWA HAPA KWETU..
 
Tatizo hili ni moja ya kipimo kikubwa cha uwezo wa Magufuli.

Ni kweli kabisa mkuu tupaze sauti kumkumbusha maana matatizo ni mengi katika taifa hili, yaani natamani tuombe appointment kama vijana tukamuone na kumuelezea ya moyoni, maana ukweli hausemwi na wahusika huficha ukweli..
 
Elimu ×3: Katiba isiyotoa kinga : ndiyo suluhisho.Magufuli hataweza kurekebisha yote....ni mengi mengi saana .

Mkuu hili suala halihitaji elimu,, uzalendo ndio suluhu ya kwanza, kwani unaweza ukasoma ila usiwe mzalendo baadala yake ukawa mamluki tu, wanaofanya haya wengi wameenda shule tena wengine wamesoma ulaya.. katiba hili suala inalielezea vizuri kabisa ila wahusika ni wapumbavu wanaohitaji mkono chuma, mh Rais anatakiwa awe jeuri kwenye hili..
 
samurai nimeliona bandiko lako.Elimu ×3 ina maana kubwa.Huku nikiheshimu bandiko lako naongezea huvi"ukielimika vizuri ni lazima utakuwa mzalendo,pia elimu ya ulaya kama utaipata vizuri unaweza kuwa mzalendo...lakini imekuwa proved about 90% ya waliosoma ulaya siyo wazalendo
 
Ni wakati wakuwa na board maalum yenye uwezo wa kutambua uwezo wa kila mgeni anayekuja kufanya kazi hapa, hii board inatakiwa iwe na wataalamu mbalimbali kwenye kada tofauti tofauti..
 
Back
Top Bottom