Mh Rais ni busara kama utachukuwa hatua watanzania tumekuchoka kwa kweli!

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Hii ni kutokana na mlolongo wa matukio yanayofanana na movie ya kuigiza mara linakuja hili ma linazuka hili haiwezekani ww ndo mkuu wa nchi yakawa yanafanyika mambo ya ajali ajabu na ww kila kukicha unaongea ongea tu hovyo kwenye vyombo vya habari jifunze kwa mataifa mengine basi uone viongozi wapo wanavyoongoza mfano ni hapa jirani Rwanda!

Ww unalalamika,sisi tufanye nn kama majiyamezidi unga achia ngazi mkuu wangu tunakuheshimu sisi emu imeoza yote huoni mpaka ww mwenyewe unasema {eti jamani kuweni makini tunasemwa sana kwenye rushwa shauri yenu kweli mkuu hii sio nzuri)

Washauri wako wanakudanganya ebu anzisha yale matembezi yako ya ghafla kwenye sekta binafsi utapata majibu watu kila pembe ya nchi wanakulalamikia ww pengine ni watendaji wako lkn sisi tunakuangalia ww waadabishe!

Mwisho muda wako wakutuongoza unakaribia kuisha watakunyanyasa sana watakaoingia madarakani kipindi kijasho ikiwezekana hata mahakama ya kimataifa watakufikisha mkuu chukua hatua wacha kulalamika na ww!
 
Back
Top Bottom