Mh. Rais- Ndege, Fly Over , Airport Bila kujali na Kuinua Hali za maisha yetu ni kazi Bure

sawa ni upuuzi lakini hiki ndio kilio cha kila Mtanzania wenye kipato cha chini nani wengikuliko wewe uliye sehemu unakula tu maisha
Sawa mkuu

Tuendelee kuililia serikali...ikimaliza fly over za dsm itakuja haya huku kwetu kentuki..
 
JIBU KWA HOJA USAIDIE WATANZANIA WENGINE SASA MIE NIPANDE CHOPA YA CHADEMA KWANI MIE NANI?
Sema usaidiwe wewe..kwani nani alikuambia ndege zinaletwa upande wewe..??wapo watanzania wanaozipanda kila siku..unahitaji darasa refu inaonyesha ulidhani ndege zinaletwa ili upande tu.
 
M

KINA GADAFI WALIWEZA,,, ANGALIA NCHI ZA WENZETU HATA CHINA TU PAMOJA NA WINGI WAO LAKINI KILA RAIA ANATAMBULIWA NA SERIKALI YAKE NA ANAJULIKANA MAHALI ALIPO NA ANAFANYA NINI.
Una ushahidi au unaropoka tu..?maana ulichoandika kinaonyesha akili yako.
 
Lo kweli Tanzania ngumu au wagumu kuelewa?
1.Flyover inapunguza msongamano wa magari hivyo kutumia muda kidogo kwenda kwenye shughuli zako.
2.Ndege ni njia ya haraka ya uchukuzi,kutusafirisha ndani na nje,vile vile ni kukuza utalii,kuongeza ajira na kuongeza mapato ya serikali.
3.Kpanua Aiports ni muhimu sana kuongeza idadi na ukubwa wa ndege kutumia viwanja vyetu hivyo kurahisisha na kukuza uchumi wetu na ajira pia.
Hivi ulitaka Magufuri akugawie pesa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom