Mh. Rais, naomba sana usipende kudhalilisha watu mbele ya halaiki. Kumbuka hao nao wana familia na watu wa chini yao wanaowaheshimu

Mkuu majitu dhaifu ndivyo yalivyo! Hupenda kudhalilisha wengine ili yapate umaarufu kupitia migongo ya wengine! Tabia za kishenzi na kipumbavuuu!!
 
Hao ni wababa wa familia; wana wake na watoto hapo pia kuna kundi la watu wanaloliongoza; natafakari baada ya wewe kuondoka wanatekelezaje majukumu yao kwa kujiamini tena?


Tena wengine wamemzidi umri, akawaita; "PUMBAVU ZENU" !!! 😁
 
Namsubiri RAIS wa awamu ya 6 kuja na yeye kuwaita marais waliomtangulia kusutwa hadharani
 
Back
Top Bottom