SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Mh Rais alipoingia madarakani mwisho wa mwaka 2015 nchi ilibarikiwa na mvua kubwa na mafuriko kidogo hapa na pale. Kuona hivyo, kama ilivyo kawaida yake , katika hotuba aliyasema haya " na hii mvua yoote inayonyesha, wakuu wa wilaya lazima muhamasishe watu walime, ikitokea mkuu wa wilaya yoyote akaja kutangaza kuwa wilaya yake ina njaa, au kuomba chakula cha msaada, ntamfukuza kazi"
sasa Mh, kuna wakuu wa wilaya huko mkoani Dodoma, simiyu, Tabora, wameanza kusema eti wilaya zao zina njaa mara upungufu wa chakula, mara hawana chakula na nk
nakukumbusha mkuu, timiza ahadi yako watimue kazi wakuu hawa wa wilaya, ukikaa kimya bila kuwatimua sisi tunaokupenda tutajua unakubaliana nao, au hausimamii maneno yako, au umegundua ulikosea kutoa kauli ile.
Watimue mkuu, watimue kazi, wazibaji nafasi tupo