Rais Magufuli mtizame kwa makini sana Mwigulu Nchemba

Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Pole sana mdau. Tatizo lako ni kutokutangaza maslahi yako.
Kwa wanaomfahamu Mwigulu ni kuwa umuhimu wake kisiasa ulikwisha. Kilichofuata ni kutumbuliwa.
Ni siri iliyowazi kuwa alitekeleza vitendo vingi vya Kimafia dhidi ya upinzani.
Inashangaza pale baadhi ya watanzania wanapowaona wengine kama hawastahili kupata haki.
 
Mwigulu Nchemba RAIS 2015 . Akafute kwanza yale nawe na maeneo yote aliyotuma vijana kuandika. Aanzie hapo.
 
Mwigulu hana ujanja bila madaraka. Yeye huko kwao ndio tajiri kwakuwa alikuwa waziri, hivyo kitendo cha kuwa nje ya uwaziri utajiri wake umeisha, na anaona hata heshima yake imepungua.

Ndio maana siku hizi hafumaniwi na wake za makada wa CCM kama kule Igunga? Kumbe ukidume ule ilikuwa nguvu ya madaraka?
Ila makada wa CCM wanatia huruma, kumbe wakubwa wakiwa maeneo yao wanawapatia "my wife" wao kuwa kiburudisho? Au ili kuwa Sera za Mwigulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni kweli anatia huruma. Tarehe 29 Desemba mwaka jana nilionana naye - sio Mwigulu wa enzi zile namna anavyoongea. Hadi mi akaniita "Kiongozi" wkt ni mpiga kura wake tu. Nimekuwa nikimshauri upepo ulivyo apumzike kdg siasa lakini naona kawa mgumu kuelewa na tayari kishaanza Kampeni za kuwarushia baadhi ya makada wa CCM ujumbe wasimtupe kwenye Uchaguzi. Ninavyoona hizo hizo meseji zitatumika kummaliza.
 
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Muda siku zote ni mwalimu mzuri, shikamoo mkuu
 
Hii inaonesha jinsi ambavyo Mh Rais anasikiliza maoni na ushauri tunaompatia.
 
Back
Top Bottom