Mh Rais Mbona ana msafara mkubwa hivi? Je, Ni Kweli anabana matumizi?

Udambu Udambu

Senior Member
Aug 8, 2018
188
352
Mh Rais amepita hapa Manyoni kila mtu kashinwa Na butwaa.

Magari: 32
Helkopta 4 juu

Je Kweli Mkuu anabana matumizi? Yeye si unakubalika kwa wananchi, then Mbona imekuwa hivi?

Je angetumia ndege Na Na huu msafara kipi bora?

Au kwavile mi mshambaaa sijuii maana ya kubana matumizi??

(Siwezi kuweka picha Kwa sababu Za kiusalama)
 
Huyu Na Jk nani wa wanyonge?

Hata ile kuzunguka na lundo la Mawaziri, ni UFUJAJI WA FEDHA za walipa kodi wanyonge!
 
Acha uchochezi wewe, Rais wa wanyonge lazima alindwe kwa gharama yeyote...

Okay, lazima alindwe Rais wa wanyonge, vipi na watendaji wake, mawaziri, ma RCs, ma DCs, ma OCD, RPC, wakurugenzi, wa TRA, TAKUKURU, wasemaji wa idara kandamizi, etc. etc. ambao wanatekeleza ma amri yake au kutoa ma amri yao wenyewe ya kamata-kamata tumbua-tumbua, tia jela, nyang’anya mali, funga biashara za watu, piga watu kwenye kampeni, NANI ANAWALINDA WALE?
 
Punguza upuuzi mkuu na upende kujiongeza. Hapo kuna Rais, kuna mawaziri kama 10, kuna wakuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,RPC,CDF,DG TISS na wengine kibao sasa ulitegemea wapande basi la Ufipa express ili convoy iwe ya gari moja?
Kulikua na haja gani kutembea na kundi lote hilo linalotumia mafuta,posho,malazi wakati yanayosemwa ni yaleyale? Au kuna ziada gani?? Unaweza kutoa evaluation ya gharama zilizotumika? Unajua night moja ya mkurugenzi ikoje? Vp kwa wazr,rc,dc,viongozi waandamizi na no.1 mwenyewe? Tuhurumiane jamani!
 
Mh Rais amepita hapa Manyoni kila mtu kashinwa Na butwaa.

Magari: 32
Helkopta 4 juu

Je Kweli Mkuu anabana matumizi? Yeye si unakubalika kwa wananchi, then Mbona imekuwa hivi?

Je angetumia ndege Na Na huu msafara kipi bora?

Au kwavile mi mshambaaa sijuii maana ya kubana matumizi??

(Siwezi kuweka picha Kwa sababu Za kiusalama)
Mzushi sana yule jamaa. Magari 32 kilomita maelfu bora ukodi jeti private transcontinental crew
 
Punguza upuuzi mkuu na upende kujiongeza. Hapo kuna Rais, kuna mawaziri kama 10, kuna wakuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,RPC,CDF,DG TISS na wengine kibao sasa ulitegemea wapande basi la Ufipa express ili convoy iwe ya gari moja?

Hahahahaha eti Ufipa express
Ok. Kwenye shuuli Za kisiasa DG TiSS Na CDf wanatafuta nini?
 
Msafara wa rais huwa mnakosea sana mnapo hesabu magari na kuhisi yote ni yake.

Katika huo msafara pengine kuna magari 10 tu yanayomuhusu yeye rais,mengine yote ni wale wanaoongozana nae.

Kuna mawaziri ambao hawapungui watano,RC,ma DC,MPs wote hao wapo katika huo msafara wake.
 
Back
Top Bottom